I seeKama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Wananchi wanahitji kupewa majibu tu yanayokidhi haja zao. Lolote linawezekana. Bado upinzani unawahitaji watu wanaotoka CCM katika kujiimarisha zaidi.Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Ndugu yangu, semeni nyie sasa ...Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Tulia kamandaKama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakualiana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
I concur with you. Tundu Lisu is vulnarable easy to be spoiled. CCM and the system prepared to face Lisu. They know everything about him.
It is also easy to tell voters that Lisu is a puppet, agent of big powers.
On the other side Membe is much more respected by both Chadema and CCM members not forgetting non partisans.
Hata uzi wa EL kujiunga chadema uliletwa na wanaccm mkatukana na kukejeliHuyo jamaa anacheza mind games, uzi wenye maudhui kama haya uliletwa asubuhi hapa jukwaani kwa lugha ya kiswahili, kisha ukaondolewa. Naona huyu kauleta kwa lugha ya kiingereza, lakini wote wanaoleta uzi wenye maudhui haya ni wanaccm. Bila kujali ni ukweli au uongo. Tunawakanya viongozi wa cdm kutokurudia kosa la Lowassa, kwa utetezi wa aina yoyote ile. Lisu ndio chaguo letu, na iwapo atawekwa jela, ni bora hata tumpigie kura akiwa jela kwa njama za ccm. Tujikite zaidi kudai tume huru ya uchaguzi, kuliko kuokoteza hao wazee wa ccm kwa mtindo ule ule.
Vice chairmanship of Lisu was because people were not interested because that position in chadema is useless that is why professor Safari decided to resign and dump it!!! Because it is a redundant position!!What are you trying to imply? That not being deemed a presidential material by a handful of CC members automatically makes you a redundant/incompetent.
I guess the primaries are the determinants of the popular view pertaining who fits better as a flag bearer come october.
Lissu's appointment as the Vice chair should alarm you that the party hierarchy view him as the future prospect for the party leadership alongside JJ Mnyika. Thus your claims are baseless
Mind you the article claims the house was divided concerning Membe's question. Implying a score of CC members, object the move. However, if lissu was not a perfect alternative I assume they would have garnered behind Membe's candidacy.
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakualiana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Radical opposition votes cannot be consolidated by Membe who is perceived as a CCM mole/informant. Eventually more votes will be sparsed and advantage will be taken by the ruling party candidate.I concur with you. Tundu Lisu is vulnarable easy to be spoiled. CCM and the system prepared to face Lisu. They know everything about him.
It is also easy to tell voters that Lisu is a puppet, agent of big powers.
On the other side Membe is much more respected by both Chadema and CCM members not forgetting non partisans.
Wakifanya huo upumbavu na upuuzi, nitachoma kadi yao na kuhama Chadema rasmi.Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakualiana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Anahangaika kugombea.uraisi kutafuta Kinga Wala Hayuko serious .Lisu Ana kesi nyingi Sana no wonder akaja tz akaishia segerea tu