Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

CHADEMA CHADEMA, CHADEMA,,,
Kuweni makini, msifuate mkumbo, mwacheni Membe haja wasaidia kukijenga chama, wakati mna pambana kuimarisha chama wao walikuwa wana wazomea na Chama chao. Leo wamemtemaanajiona lulu kuja upinzani kujitafutia maslahi?
Kwani kati yenu hakuna anae weza kupeperusha bendera ya Chama? Mbona mko wengi? Membe hana faida yoyote kwenu ni mbomoaji.. Achaneni nae..
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
I see
 
Wananchi wanahitji kupewa majibu tu yanayokidhi haja zao. Lolote linawezekana. Bado upinzani unawahitaji watu wanaotoka CCM katika kujiimarisha zaidi.

Madaraka ya nchi sio kirahisi rahisi tu,leo mnapigia Magufuli makelele ingawa amekuweka kwenye system karibu miaka 20.

Ili upinzani uimarike unahitaji watu walikuwa kwenye system kwa muda mrefu na wanauzoefu wa kutosha. Wakutena na vijana wenu huko na kutengeneza upinzani imara kwa manufaa ya mchi yetu.

Uaminifu kwao ndani ya upinzani ni suala mtambuka ambalo kama upinzani wanapaswa kuona ni namna gani wanawadhibiti hawa watu lakini sio kuwakataa.

Leo tuna vijana wanaenda ccm kutoka upinzani mbona wanateuliwa na kufanya majukumu yao vema.

Huko hata leo mkipewa nchi mtahitaji watu wengi sana kutoka ccm ili muweze kuindesha nchi. Bado hamna mtaji wa watu wa kutosha sehemu zote muhimu na zile za kawaida.

Acheni kusumbuliwa na mizimu ya kina lowassa na Sumaye na wengineo. Wametimiza matakwa yao,pengine kufanyia fitina na kushindwa kuhimili wakaamue kurudi.
 
The Kenyas Guru an Think Tanker Prof.Lumumba once quoted that,CCM is one of the two Credible Political Parties in Africa that will stand taller for so long due to it's institutionalization which is rare in other parties.
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?

Lisu Ana kesi nyingi Sana no wonder akaja tz akaishia segerea tu
 
.
Same old same old.

Biashara ya Lisu imefungwa rasmi.

Hatimaye kapatikana atayenunua nafasi.
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Ndugu yangu, semeni nyie sasa ...
 
....The former prime minister,comrade hon.Lowassa was not allowed and then defeated by CCM not only being involved in scandals which tarnished his image but also due to the vigour of the party during the last elections.
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakualiana bila wengine kuwa vinyongo.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Tulia kamanda
 
I concur with you. Tundu Lisu is vulnarable easy to be spoiled. CCM and the system prepared to face Lisu. They know everything about him.

It is also easy to tell voters that Lisu is a puppet, agent of big powers.

On the other side Membe is much more respected by both Chadema and CCM members not forgetting non partisans.

Wooh, this is very shallow observation....!!

You say, "...they (CCM) know everything about Lissu..."

Tell us about Bernard Membe...

Is there anything which they (CCM) don't know about him?

Bernard Membe was born, grew up and worked for CCM all of his entire life until yesterday when he pretended to denounce his father - CCM...

What is wrong with most people, that they can't see this drama being artistically designed and played in CCM chambers?
 
Huyo jamaa anacheza mind games, uzi wenye maudhui kama haya uliletwa asubuhi hapa jukwaani kwa lugha ya kiswahili, kisha ukaondolewa. Naona huyu kauleta kwa lugha ya kiingereza, lakini wote wanaoleta uzi wenye maudhui haya ni wanaccm. Bila kujali ni ukweli au uongo. Tunawakanya viongozi wa cdm kutokurudia kosa la Lowassa, kwa utetezi wa aina yoyote ile. Lisu ndio chaguo letu, na iwapo atawekwa jela, ni bora hata tumpigie kura akiwa jela kwa njama za ccm. Tujikite zaidi kudai tume huru ya uchaguzi, kuliko kuokoteza hao wazee wa ccm kwa mtindo ule ule.
Hata uzi wa EL kujiunga chadema uliletwa na wanaccm mkatukana na kukejeli
 
I don’t believe this piece. Kwanza Membe hajarudisha kadi
 
Lowassa prowess didn't salvage him on electoral results, finished the second behind the really zealout son of Africa and Tanzania,His Excellency President Magufuli.
 
What are you trying to imply? That not being deemed a presidential material by a handful of CC members automatically makes you a redundant/incompetent.

I guess the primaries are the determinants of the popular view pertaining who fits better as a flag bearer come october.

Lissu's appointment as the Vice chair should alarm you that the party hierarchy view him as the future prospect for the party leadership alongside JJ Mnyika. Thus your claims are baseless

Mind you the article claims the house was divided concerning Membe's question. Implying a score of CC members, object the move. However, if lissu was not a perfect alternative I assume they would have garnered behind Membe's candidacy.
Vice chairmanship of Lisu was because people were not interested because that position in chadema is useless that is why professor Safari decided to resign and dump it!!! Because it is a redundant position!!

Tundu Lisu decided to take a useless and redundant position to boost his. Fake image!!! As a vice chadema of Tanzania mainland !!! To show you that that vice president position is hopeless and redundant do you know who is the Chadema vice president of Zanzibar? Do you even know his name? Because chadema has two vice presidents
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakualiana bila wengine kuwa vinyongo.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?

Kama ni kweli basi hakuna mwenye sauti chadema tofauti na chair
 
I concur with you. Tundu Lisu is vulnarable easy to be spoiled. CCM and the system prepared to face Lisu. They know everything about him.

It is also easy to tell voters that Lisu is a puppet, agent of big powers.

On the other side Membe is much more respected by both Chadema and CCM members not forgetting non partisans.
Radical opposition votes cannot be consolidated by Membe who is perceived as a CCM mole/informant. Eventually more votes will be sparsed and advantage will be taken by the ruling party candidate.

Lissu can be predictable but he's a Dr Slaa-Calibre presidential hopeful who despite not winning the presidency can rally multiple constituency and ward victories for CHADEMA candidates.

Concerning the ''puppet claim'', obviously Membe has a dented history compared to Lissu. I guess its easier to tarnish Membe's political career than Lissu who apart from empty claims of being a puppet he's known for standing firm against gov't inefficiencies dating back to mining grafts in 90s to shady parliamentary bills this decade.

Membe is worse compared to Lissu as far as to who "the system is prepared" to face come October.
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakualiana bila wengine kuwa vinyongo.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Wakifanya huo upumbavu na upuuzi, nitachoma kadi yao na kuhama Chadema rasmi.
 
Mbowe anaamini Membe pekee ndio atanusuru chama kisimfie mikononi, lazima amfix mtu ili mipango yake iende sawa. Tishio kubwa ni Lissu, ila Lissu hana mizizi kama Dr Slaa hivyo kumfix ni rahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom