Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Mpiga kura ndio Nani unachangia shilingi ngapi uendeshaji Chadema lofa wewe? Kaanzishe chako lakini kuleta za kuleta Chadema sahau.Nakupa ushauri wa bure usije umia kwa usilolijua ambalo kwako Ni usiku wa Giza

Ni hivi, utatapika hirizi safari hii. Kwa jinsi ulivyopanick nakuona tu kama mtu aliyemfumania mkewe na houseboy. Acha usiku wa giza, kipindi hiki itakuwa ni mchana wa jua, Ngiri jike ww.
 
Sawa Membe kwa Lisu kuna matatizo mengi nina wasiwasi akija. Watakavyo mpokea kuna kuruka dhamana,kumficha dereva,sijui nini na nini
 
sasa tujifunze kukubali!Membe ni maarufu na tishio kuliko hata Tundulissu!!Mimi kama mwananchi wa kawaida nitampa kura yangu!Nina imani hata JK atampa kura yake
 
Mimi naamini CCM wamegundua njia ya kuwavuruga upinzani ni kuweka pandikizi lao, kama ilivyokuwa 2015 na Lowassa, mwaka huu ni Membe.

Sioni kama Membe amewahi kuwa na nguvu ya ushawishi kwa wapinzani, wala kuwahi kuishi ideology zao. Zaidi ya kutaka kugombea Uraisi, sioni motive yake kwaajili ya kuimarisha upinzani Tanzania.

So i bet, mda mfupi baada ya uchaguzi, atarudi kuunga juhudi tu, kwasababu atakuwa amemaliza kucheza hii sinema.
 

Uliwasikia watu kadhaa wakisema, Lowassa alikuwa mgonjwa. Lissu ni suala tofauti, yeye kapigwa risasi na watu wengi wanajua nini kiliendelea. Mimi nimewasikia watu kadhaa wakisema jiwe ni dictator, hivyo ccm wamchague mama Samia maana si dictator. Kwa hizi hoja zako si vibaya nikijua uko kidato cha ngapi.
 
Mkuu wewe siasa zitakuua,relax,chadema inawenyewe,wewe mwenyewe umekimbilia huko baada ya kutumbuliwa na JPM, sasa mbona wamuonea gele mh.membe?

Membe ndiye mgombea wetu sisi wanachadema,kama hutaki hama chama

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hawaniumizi kichwa hao wakurupukaji, story zote kumhusu Membe kwenda Chadema naona zinaanzishwa na wapiga debe wa lumumba, waache wajidanganye tu.
 
Pole Mkuu... Hakika hili limekuuma kwelikweli.
Kumbuka Lissu harudi lakini.
 
waambie!
 
Sawa Membe kwa Lisu kuna matatizo mengi nina wasiwasi akija. Watakavyo mpokea kuna kuruka dhamana,kumficha dereva,sijui nini na nini

Kwa taarifa yako hata Lissu akiwa jela tutampigia kura na sio Membe. Tunahitaji mpinzani na sio muhuni yoyote toka ccm. Ya Lowassa yalitutosha.
 
Mie ni mmojawapo ntakayejiondoa CDM
 

Hakuna mpasuko wowote, hatumuhitaji Membe fullstop.
 
Mhh!!?? Hichi kiluga ni cha msomi tena ni muajiriwa
 
Master of Political Science chief , anyway singependa kuzungumzia sana elimu huenda una elimu kubwa lakini si ya siasa.

Nikujuze tu kuwa unatazama mambo kwa elimu yako kubwa nikukumbushe kuyatazama mambo kwa angle ya aliyeishia la pili. Katika siasa tuna people na population. People ndio nyie wasomi wachache .Population ni igmorant majority. Ukiwa kwenye uchaguzi zingatia sana hawa ppn. Ndio maana Membe katika kurudisha kadiri alienda na ppn sio people. Unaweza kuwa na elimu kunizidi km una PhD lakini huna elimu na uzoefu wa siasa wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…