Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Marekani ushahidi anao ndio kwanza kataja jina la mtu mmoja tuu na bado majina ya watu 200 akiwemo na yule aliye mcharaza mwenzake bakoraIle ni ccm,! Chadema mkiitana kama hivyo mtaishia kugawana fito wakati wenzenu watatoka wanacheka na kuishia kuwapa kipigo ikifika novemba mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
ccm ni rafiki wa fitina na vichekeshoKwanini Makonda yuko Dodoma wakati si mbunge wala si mjumbe wa hiyo kamati ndogo ? Membe si mtu wa mchezo kama mnavyodhani
CCM kuna wauaji,watekaji,wezi,wanafiki,wachawi, mafisadi, kifupi CCM ni genge la wahalifuCCM haina kambale kama Chadema!
Acha upuuzi wwee tuna uzoefu kuwa nyie ni wauaji na majambazi mabaya hasa. Historia inawahukumu kuwa kina kolimba mliwaua kwenye vikao kama hivi. Lazima atuambie tukae tayari kwa mliyopanga nyie mashetani wakubwa
Atakua mgombea uraisi wa chadema, akimalizana vizuri na Mbowe.Kwa jinsi unavyojiamini,ni wazi una hoja nzito za kujitetea, sema tu hawatasikiliza wala kuzingatia hoja zako bali wataingia kwenye kikao wakiwa tayari na maamuzi yao mifukoni.
Kwa mtazamo wangu,kikao hiki ni cha ushahidi tu ili ionekane umepewa haki ya kusikilizwa.
JOHN Kwenye hili nakupinga, na namuunga mkono mshindani wetu wa chama cha upinzani. Alichosema SS, kina ukweli mwingi na tunayaona.CCM haina kambale kama CHADEMA!
Lakini utaratibu wa chama unafahamika!JOHN Kwenye hili nakupinga, na namuunga mkono mshindani wetu wa chama cha upinzani. Alichosema SS, kina ukweli mwingi na tunayaona.
Nimuaomba mungu viongozi wa chama changu (CCM), wawe na busara na wamtendee haki mwanachama wake. Sijaona kosa alilofanya Membe , zaidi ya kuonyesha nia ya kugombea Uraisi, japo kuwa membe sio chaguo langu, lakini ana haki ya kugombea kiti chochote ndani ya chama. Kwanza aliweka nia ya kugombea uraisi tokea alipokuwa Waziri wa awamu ya 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie vijana wa Chadema, mumesahau Mbowe na wenzake walivyo muuwa Chacha wangwe?Acha upuuzi wwee tuna uzoefu kuwa nyie ni wauaji na majambazi mabaya hasa. Historia inawahukumu kuwa kina kolimba mliwaua kwenye vikao kama hivi. Lazima atuambie tukae tayari kwa mliyopanga nyie mashetani wakubwa
Eeh tupo hapa karibu tukuweke mikono salamaHakika nimeamini w/me wa Kusini ni watu wa kujiamini sana, angalia jamaa alivyoandika.
Ndicho kinachoenda kumkuta ! Akipigwa chini ndio akili itamsogeaMimi nimeshauri nimechoka Membe wangeachana naye tu
No commentNdicho kinachoenda kumkuta ! Akipigwa chini ndio akili itamsogea
Tutakukumbusha hii coment Ikifika novembaMarekani ushahidi anao ndio kwanza kataja jina la mtu mmoja tuu na bado majina ya watu 200 akiwemo na yule aliye mcharaza mwenzake bakora
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada kusoma "akiri" "makario" nimegundua wewe ni sungusungu wa shule ya kata za baba yenu. Kilaza mkubwa hukumbuki Kolimba alifia kizota? Au ni wewe mwenye kazi ya kupoison wanaopingana na system.Tumia akiri, leo hata ujumbe wa mume wenu lisu hujasoma, nikupe kwa ufupi, amesema mambo ya ndani ya chama wawe wanayamaliza kwenye vikao sio kwenye media kwa ustawi wa chama, kwa hiyo hilo nalo hutaki? Acha kutumia makario.