Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Hao ndio ilikuwa nguzo ya chama, pengine mpaka sasa................
 
Kamati; Washtakiwa mlimuita mwenyekiti mshamba na ame changanyikiwa?
Washtakiwa; Ndio ni kweli.

Kamati; Jee na nyinyi kwa ukongwe wenu ndani ya chama mnaamini hivyo?
Washtakiwa; Ni kweli ndivyo tunavyo amini.

Kamati; Jee bado mnakipenda chama? Na kama ndio mna ushauri gani?
Washtakiwa; Bado tunakipenda sana chama tulichokijenga kwa nguvu zetu, ushauri wetu ni huyu mwenzetu ndio apewe bendera apeperushe uchaguzi wa 2020 huyu wa sasa kimeo mno.

Mwenyekiti wa Kamati; Kesi dismissed na nendeni tukutane tena Dodoma kwenye uteuzi.

Ghafla nashtuka usingizini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom