johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
PM ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa kwa mujibu wa katiba!Ni mbinu ya Kibobezi. Na kama watafanikiwa huyo ndiyo PM. Na Membe ana kundi kubwa mno CCM na mipango nayo iko kimya kimya vilevile. Walijificha isiwe hadharani kuogopa kufuatwa na kutishiwa maisha na kufilisiwa kama iliyokuwa kwa wafuasi wa Lowassa. Ilisukwa kiufundi mno. Na anaungwa mkono pia na sensitive units.
Bwashee tusibishane!Mbona juzi ametangaza yeye ni mgombea halali wa ACT wazalendo?!
Bado siamini. Kwanini tume haijamuondoa kwenye karatasi ya kupigia kura?Sasa wale tuliomtolea povu, turudishe nyakati nyuma?
Kama alishawasilisha barua Tangu tarehe tajwa kwa tume, kulikuwa na sababu gani ya kutuletea sinema?
Amejitoa Hajajitoa?Usiote mchana hii barua ni ya mwez uliopita
Zitto muongo
Vipi hamtaki ajitoe?!Propaganda,mbona haikuwahi kuzungumzwa
Unateseka ukiwa pande zipi mkuuTo me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
Haiwezekani barua ya tarehe 24 September itolewe leo mwezi mmoja baadae!.
Huu ni usanii tuu!.
P
Kwani Lissu alivyosema sehemu zote walizopita bila kupingwa uchaguzi utarudiwa tena unafikiri walikuwa wanamaanisha nini??? So unajua Jimbo la Mtama Nape kapita bila kupingwa????πππ Alafu uzuri mgombea wa ACT alikamatwa na PCCB hivyo hakurudisha fomu.ushamba! je unajua kuwa Waziri mkuu ni lazma awe mbunge wa kuchaguliwa?
Kwa siasa za bongo inaweza kuwa ni barua ya kweli.To me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
Haiwezekani barua ya tarehe 24 September itolewe leo mwezi mmoja baadae!.
Huu ni usanii tuu!.
P
Hiki kiburi cha kusema nileteeni fulani wakati na wewe ni mgombea kimekaaje kwa wapiga kura? Unajiamini kuwa umeshashinda bali wengine bado wakati wote mko katika hali iliyo sawa? Kwa kauli hizi mimi basi, kura yangu na jamii yangu keshazikosa, hatupangiwi.Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure
Leo Mate Hayapiti Kooni!! Atamtaja Rashid Gwajimaa
Nileteeni Tulia, Nitatulia Tulia
Jana Kasema Nileteeni Daniel
Yaaani hizi taarifa zimeshafika hadi kijijini kwetu. Nimepigiwa simu hapa kutoka Mlele Katavi hukoJina la Membe litaendelea kuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, nadhani Membe na uongozi wa ACT wafanye jitihada kuwajulisha wananchi juu ya uamuzi wao huo, hasa mikoa ya kusini ambapo Membe anakubalika kiaina.
It's TRUE ila kumbuka yale majimbo waliyopita bila kupingwa uchaguzi utarudiwa ni hapo Membe ataingiliaushamba! je unajua kuwa Waziri mkuu ni lazma awe mbunge wa kuchaguliwa?
Ndugu najua hali si hali kwako leo hii. Nakushauri tu usikae mbali na daktari wako. Wenye akili wakipanga mambo lazima wapange vizuri ili mazuzu kama nyie wenye roho mbaya msishtukie na kuharibu mipangoKweli Ufikiri wa nchi za dunia ya tatu ni mdogo sana.
Kwamba mgombea aliandika barua mwezi mmoja kabla halafu barua ikafichwa.
Mgombea akajitokeza na kusema yeye ni mgombea halali wa chama husika.
Mwenyekiti akatoka hadharani kupinga akisema walikubaliana kumuunga mgombea wa chama kingine na hakusema Mgombea aliandika barua kukubaliana na hilo.
Baadae inatoka barua ya mwezi mmoja kabla iliyoandikwa na mgombea kujitoa kuwa mgombea.
Hakuna chama kinaweza kujichafua mbele ya umma kwamba nichama ambacho hakijajipanga kwa mwenyekiti na mgombea kupishana hadharani lazima kuna tatizo kubwa.
Siasa za maigizo za dunia ya tatu hizi ni shida.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Hapa kwa maneno mengine ni kama umemwambia kuwa asahau kuwa kiongozi kwa miaka mitano ijayo.Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Tusubiri aikane. Bado tuna siku 3 solid. Yuko kimya so far na simu zote atafunga. Hatapatikana. Mipango ilikuwa kimya kimya na analo kundi kubwa mno nyuma yake.To me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
Haiwezekani barua ya tarehe 24 September itolewe leo mwezi mmoja baadae!.
Huu ni usanii tuu!.
P
Kwa Madereva Wanajua Ukiwa Na Toyota Halafu Umefika Sehemu Korofi Unaweka Ile Kitu Inaitwa KidongeGoooooooooooooool?
Naam dk ya 89' yule yule Bernard Membe, anaiandikia CHADEMA goli la kwanza, CHADEMA 1- 0 CCM