Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Na hawajamuunga mkono, mbona wameangukia pua?Huyo ni afisa kipenyo bora alishtukiwa mapema, imagine kama Chadema wangemuunga mkono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hawajamuunga mkono, mbona wameangukia pua?Huyo ni afisa kipenyo bora alishtukiwa mapema, imagine kama Chadema wangemuunga mkono
Once kachero always kachero. Amekwishamaliza kazi yake, akae huko anafanya nini? Yey ni CCM damudamu, kilichotumika ni mbinu za kikachero kujifanya kafukuzwa kumbe hamna kitu!Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
Hana kazi yoyote aliyofanya maana watu wenye akili walishashtukia chezoAmetimiza kazi iliyo mpeleka huko
😂😂😂 mkuu we mnafiki sana😁😁 eti ubalozi wa Burundi 😂😂😂Anarudi maccm huyu apigwe na ubalozi wa Burundi akapumzike.
Ndo sababu wakamuunga mkono lissuMission accomplished, tuliwaonya Act, Zitto
Hatumuhitaji huyo joka la mdimu anarudi ofisini Lumumba kwa speed ya ngiri.Labda atajiunga na Chadema siku ya mwaka mpya!
Zitto ajitafakari kwa hiliHii sio habari, haya ni mazungumzo baada ya habari.
Mkuu membe kumuelewa kwa juu juu ni ngumu sana,but all in all ukweli anao yeyeWanamwitaga kacheto mbobezi sasa sjui anaukacheroj gani? Ameshindwa hata kumwingiza mkewe ACT? Zitto naye ameishiwa mautaalamu ama hakuchungulia hili 'garasa' bora angemsajili Rungwe mzee wa ubwabwa. Mwenzie Pinda kajituliza Leo mwanae kala ubunge na soon anapigwa unaibu waziri yeye wanae wakajiajiri sasa walime krosho
HahahaNikishaapishwa na nika-sign na peni ya wino mwekundu....jioni kutakuwa na tafrija
Takataka wako CCM wanajiona lazima watawale kwa hiyo wakikosa nafasi hiyo CCM wanakimbilia vyama vya Upinzani kwa madhumuni hayohayo lakini nako wakikosa wanarudi walikotoka ambako wanatupwa wasiibuke tena. Tumeona mifano mingi lakini michache ni Lowassa, Sumaye, sasa Membe na wengine wengi na wanarudi kwa wajinga wenzao wanatupwa wanabaki wanagwaya wakilaani walikojaribu kupata uongozi wakakosa na kuanza kuunga mi iWapinzani wa Tz ni takataka kweli