Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho

Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache

Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021

Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
Once kachero always kachero. Amekwishamaliza kazi yake, akae huko anafanya nini? Yey ni CCM damudamu, kilichotumika ni mbinu za kikachero kujifanya kafukuzwa kumbe hamna kitu!
 
Tumuonyeshe nyumbani kwake kabisa ili naye asije na kale kamsemo kakurudi nyumbani
 
Nikishaapishwa na nika-sign na peni ya wino mwekundu....jioni kutakuwa na tafrija
 
Wanamwitaga kacheto mbobezi sasa sjui anaukacheroj gani? Ameshindwa hata kumwingiza mkewe ACT? Zitto naye ameishiwa mautaalamu ama hakuchungulia hili 'garasa' bora angemsajili Rungwe mzee wa ubwabwa. Mwenzie Pinda kajituliza Leo mwanae kala ubunge na soon anapigwa unaibu waziri yeye wanae wakajiajiri sasa walime krosho
Mkuu membe kumuelewa kwa juu juu ni ngumu sana,but all in all ukweli anao yeye
 
Kazi iliyompeleka ACT ameshaimaliza.
 
Wapinzani wa Tz ni takataka kweli
Takataka wako CCM wanajiona lazima watawale kwa hiyo wakikosa nafasi hiyo CCM wanakimbilia vyama vya Upinzani kwa madhumuni hayohayo lakini nako wakikosa wanarudi walikotoka ambako wanatupwa wasiibuke tena. Tumeona mifano mingi lakini michache ni Lowassa, Sumaye, sasa Membe na wengine wengi na wanarudi kwa wajinga wenzao wanatupwa wanabaki wanagwaya wakilaani walikojaribu kupata uongozi wakakosa na kuanza kuunga mi i
Konk nuhudjjuhudi wakitegemea viteuzi vidogovidogo lakini hata vinafasi hivyo hawapati kwa sababu wajinga ni wote katika Chama hicho na wote wanataka teuzi na waliohamia Upinzani wanaonekana ni wasaliti wa Chama chao. Mimi naamini hata Magufuli akiamua kuachana na hicho Chama chake hatapokelewa Upinzani kwa sababu ataonekana ni pandikizi la Chama chake na Wapinzani wanajua msimamo wake. CCM wanazikubali PhD za jalalani ndo zimejaa Serikalini, Bunge hata Mahakamani lakini za vyuoni hazijulikani nao wamekaa kimya kwa sababu: "Don't urgue with a fool people may not know the difference ". Mwanasiasa wa Upinzani anajua tofauti haiko kwenye Chama chake bali upande wa pili.
 
Back
Top Bottom