Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Membe amekuja kuudhoofisha upinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachero yupo kazini..... Baada ya October 28 anaomba msamaha na kurudi nyumbani...Membe amekuja kuudhoofisha upinzani.
Hao hao Jobless ndio watawatoa madarakani, maana nyie ndo mmesababisha ukosefu wa 'Ajira' ni swala la muda tu.Membe yupo vizuri sana. Nimeshangaa lissu kuongelea mambo ya zao la pamba kiwanja cha furahisha. Wote waliokua wamejazana pale siamini kama kuna mkulima wa pamba. Nadhani alikua anaongea mwenyewe.
Wengi pale ni jobl
Mh.Lissu hashindani na Membe kuandika au kusoma "insha"Baada ya kuwasikiliza wagombea wa upinzani ambao tayari wameshaanza kampeni zao, nimejaribu kubainisha tofauti zao, ambapo kwa mtazamo wangu naona Bernard Membe ana uwezo Mkubwa Sana wa kuongelea mambo ya wananchi kwa lugha rahisi na inayoeleweka...
Sawasawa kabisa, majizi mengine bila kuyashikia bastola hayarudishi mali za umma, hivi unafikiri bila kumtandika kihelehele wao acacia angeachia migodi yetu? bila kumburuza yule mkurya angeachia mali zetu za nyanza? dunia hii hakuna maendeleo ya lelemamaMafisadi na wezi ndiyo wameporwa haki zao za wizi lakini wananchi wa kawaida wanafurahia sana serikali ya awamu ya tano.
Halafu walikuwa wanasema hafai wanaCCM mtiti wa Lissu umewavuruga sanaKumbe kusema anataka Rais wa kusini ndio kueleweka
Halafu anakazia na kusema lazima Lindi mjini itoe waziri.
Halafu anasema ccm hoye!!
Akapimwe huyu
Lissu anaongelea Uhuru, Haki na Maendeleo. Mpaka sasa sijaona kama yuko nje ya ilani .... Mashambulizi mengi kwa Magufuli yanahusu Uhuru na Haki. Kama anaeleweka vizuri kwa wananchi hilo sina uhakika nao!!Baada ya kuwasikiliza wagombea wa upinzani ambao tayari wameshaanza kampeni zao, nimejaribu kubainisha tofauti zao, ambapo kwa mtazamo wangu naona Bernard Membe ana uwezo Mkubwa Sana wa kuongelea mambo ya wananchi kwa lugha rahisi na inayoeleweka...
Collaboration iyo mnapigwa mtaongea yote tuBaada ya kuwasikiliza wagombea wa upinzani ambao tayari wameshaanza kampeni zao, nimejaribu kubainisha tofauti zao, ambapo kwa mtazamo wangu naona Bernard Membe ana uwezo Mkubwa Sana wa kuongelea mambo ya wananchi kwa lugha rahisi na inayoeleweka...
Wewe jamaa kwa mzee akiongelea daraja na Flyover mtu wa kahama anaelewa?Membe yupo vizuri sana. Nimeshangaa lissu kuongelea mambo ya zao la pamba kiwanja cha furahisha. Wote waliokua wamejazana pale siamini kama kuna mkulima wa pamba. Nadhani alikua anaongea mwenyewe.
Wengi pale ni jobl
Chadema wanavyoongea na wapiga kura inaonyesha wazi hawawajui watanzania... wanachokifanya ni sawa na mfanyabiashara wa beer kwenda kufungua bar mecca au madina 😁😁😁Membe yupo vizuri sana. Nimeshangaa lissu kuongelea mambo ya zao la pamba kiwanja cha furahisha. Wote waliokua wamejazana pale siamini kama kuna mkulima wa pamba. Nadhani alikua anaongea mwenyewe.
Wengi pale ni jobl
Jana aliwaambia wanamanyoni hao wanaowaambia ndege zisinunuliwe sababu nyie hampandi ndege wanawadanganya. Akawaambia madawa yanayotumika yanatoka nje ya nchi, sasa wanataka tutumie bodaboda kuyafata???Wewe jamaa kwa mzee akiongelea daraja na Flyover mtu wa kahama anaelewa?
Wanaongelea haki na uhuru!Chadema wanavyoongea na wapiga kura inaonyesha wazi hawawajui watanzania... wanachokifanya ni sawa na mfanyabiashara wa beer kwenda kufungua bar mecca au madina [emoji16][emoji16][emoji16]
Huwezi uza bidhaa bila kujua tabia ya soko lako
Mkuu umesahau..... Aliongea Tundu akasema serikali isiingilie mambo ya mapenzi ya jinsia mojaWanaongelea haki na uhuru!
Hivi mtanzania ana kosa haki gani na uhuru gani?
Yani shida za viongozi wa chadema wanataka ziwe za watanzania wote.