Uchaguzi 2020 Bernard Membe anaongea lugha rahisi na anaeleweka kuliko Lissu

Mkuu umesahau..... Aliongea Tundu akasema serikali isiingilie mambo ya mapenzi ya jinsia moja
Nadhani wanataka uhuru na haki ya wanaume kuoana na wanawake kuoana
Hiyo laana haitatendwa na Tanzania hii. Wayapeleke hukohuko walikoyatoa
Ni vibaya sana kupotosha kwa makusudi kwa maslahi yako,leta clip akiongea
 
Pigia kura mgombea unayeona anaeleweka? Kama Lisu haeleweki kwako sisi wengine tunamuelewa
 
Mkuu umesahau..... Aliongea Tundu akasema serikali isiingilie mambo ya mapenzi ya jinsia moja
Nadhani wanataka uhuru na haki ya wanaume kuoana na wanawake kuoana
Hiyo laana haitatendwa na Tanzania hii. Wayapeleke hukohuko walikoyatoa

..mbona Magufuli aliwapokea Babu Seya na Papii Ikulu?

..sote tunajua Babu Seya na Papii walipatikana na hatia ya kulawiti watoto.

..Je, ccm na Magufuli wanaunga mkono mambo hayo machafu ktk jamii?
 
Watu wa manyoni walimchora tu mzee baba wenu. Zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya hata Panadol na dripu za maji kupatikana ni shida.

Hospitali ya taifa muhimbili na ocean road dawa zenyewe hakuna halafu anawadanganya wasiojielewa na mindege yake.
 
..mbona Magufuli aliwapokea Babu Seya na Papii Ikulu?

..sote tunajua Babu Seya na Papii walipatikana na hatia ya kulawiti watoto.

..Je, ccm na Magufuli wanaunga mkono mambo hayo machafu ktk jamii?
Watanzania wanajua kisa cha babu sea vizuri sana na Rais Magufuli kama mmoja wa watanzania nae anajua lile tukio lilivyotengenezwa.

Hata aliyegombea urais kupitia chadema kwenye kampeni zake aliahidi kumfungulia babu sea sababu alijua hukutenda kosa na hakukua na ukweli kwenye hukumu yake.

Kwa kuwa John Pombe Magufuli ni rais mpenda haki hakuweza acha haki ya familia ya sea ipotee

Pamoja na hayo, hata kama siamini na wewe unaona mapenzi ya jinsia moja ni sawa
Huwezi halalisha haramu kuwa halali kwa kutumia haramu
 
Membe yupo vizuri sana. Nimeshangaa lissu kuongelea mambo ya zao la pamba kiwanja cha furahisha. Wote waliokua wamejazana pale siamini kama kuna mkulima wa pamba. Nadhani alikua anaongea mwenyewe.

Wengi pale ni jobl
Huyu jamaa amekurupuka tu ili apambane na Magufuli
 
Lissu anayaongelea Sana Tena Sana tu sema hamtaki kumwelewa kwakuwa alipona ile mission yenu ..mbona sisi tunamwelewa?? Lumumba tu ndo hawataki kumwelewa
 
Usimwamshe aliyelala.
 

Hoja ikiungwa mkono na lb7 kama mleta hoja si lb7 mwenzao basi tambua pana tatizo mahali.

Kumbuka lb7 = misukule.
 
Inamaana ACT na chadema wameshindwa kabisa kuungana ?

ACT na CDM lao moja. Pana mitego wamewekewa ili ikibidi kuwaengua kama wakiungana.

Hawa jamaa wako vizuri sana kwenye kukwepa mitego waliyowekewa na wanaojiita wenye nchi.

Tusubirie mkuu. Muda ukifika yote yatakuwa wazi.

Si unaona upepo wa wagombea unavyokwenda hadi sasa? Yuko wapi mwenye matisho ya kuwakamata baadhi ya wagombea?

Tuwape muda mema yapo njiani.
 

Kutawala wajinga wengi kupitiliza ni shida sana. Sioni utawaambia nini wakuelewe!
Maadui wetu hawa, nañukuu tu,"Ujinga, umasikini ..... "
 
Una akili finyu sana, na uwezo mdogo kiakili so huwezi Kumuelewa Lissu, pole sana. Na unatumia kipimo gani kupima impacts ya speeches za wagombea?
 
Tundu Lissu kawshika MATAGA kunako....
 
Kwavyovyote vile ubongo wako utakuwa na kamasi nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…