Uchaguzi 2020 Bernard Membe anaongea lugha rahisi na anaeleweka kuliko Lissu

Hayo ndio wanyonge walionyongeshwa wanapenda kuyasikia Mkuu. Wangekuwa wanapenda ya Membe na JPM basi Membe naye angepata wafuasi wengi kwenye mikutano wake au JPM asingehitaji Diamond, bendi ya TOT na Harmonize kumjazia watu kwenye mkutano.
 
Hayo mambo anayoongelea Lissu ni mambo ya msingi kama we unaona haeleweki basi una shida wewe
kupigwa kwake risasi kuna msingi gani kwetu?????????????////
 
Mzee wa " a fair coin" . Sio wewe kila ukirusha shilingi ni kichwa tu, kichwa tu, kichwa tu aaaa.
 
Wewe utakuwa haunatofauti na hao usikute ni illiterate
 
Kuwa CCM usijitoe Ufahamu, hata Mimi ni CCM lakin LISSU anatuumiza kichwa
Jamaa anaongea mambo ambayo wanasiasa wengi hawataki kuyagusia
Britannica
 
mwalimu akiwa darasani anafundisha lazima atoe mifano ili somo lake lieleweke. lissu yuko sawa, akisema tz hakuna demokrasia lazima atoe na mifano, akisema hakuna utawala bora lazima atoe mifano. sasa wewe unataka anadi tu sera bila ya kuelezea mapungufu yaliyokuwepo?

tulieni dawa iwaingie kwanza. sisi wananchi ndio tunapenda lissu anavyonadi sera zake
 
Hayo mambo anayoongelea Lissu ni mambo ya msingi kama we unaona haeleweki basi una shida wewe
Hotuba ya Mwanza Lissu kaongea mambo ya msingi sana. Yani kama wewe ni CCM au upinzani, bila kujali chama, ukitumia akili bila ushabiki utaona kwamba kuna vitu vya muhimu kaongea.

Nimeongea sana kuhusu manunuzi ya ndege bila tenda, Lissu kaongelea hilo.

Nimeongea sana kuhusu rekodi ya Magufuli kabla hajawa rais na ambavyo hakusimamia haki, Lissu kaongea hilo.

Kaongea mengi sana, sehemu ya hotuba hii hapa chini.

 
As long as hamjajibu nani alitaka kumwua Lissu hilo swali tutawauliza mpaka siku mnaingia kaburini, kama linawakera ni kwa sababu mnajua mnayo hatia
 
HAKUNA MTU ANAYEONGEA LUGHA RAHISI KAMA LISU HAPA DUNIANI KAMA HAUMUELEWI JIULIZE MARA 100% LISSU NI BINADAMU WENYE UZALENDO NA UPENDO MKUBWA SANA KWA TANZANIA (Ukombozi wa MTU au taifa huletwa na MUNGU kupitia mwanadamu ( Wenye akili takatifu tunauona ukombozi kupitia lisu na Amin ndugu nakwambia Huyu LISSU HATOSHINDWA KUKAMILISHA PUNJE NDOGO ILIYOSALIA. CCM MKO NJE YA WAKATI KUBALINI YAISHE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Reactions: BAK

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ