Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
 
Rais wa nchi hii ndio mungu, anaweza kufanya lolote na asifanywe lolote. Kwamba Magufuli ndio alikuwa anatoa maagizo ya wafu kufanyiwa unyama hayana ubishi. We baki kusema sijui ni awamu ya tano, sijui ya sita hilo utajua wewe.
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
TISS ni wale wale wale, JWTZ ni wale wale, polisi ni wale wale, Waziri mkuu ni yule yule, makamu wa rais ambaye ndiye rais (ondoa tu neno Makamu ili iwe rais) ni yule yule. Kwa hiyo nadhani Mh. Membe ana matatizo binafsi na serikali ya Mama Samia, ni mnafiki maana kaongea hivyo kuonesha Mama Samia alikuwa Muuaji anaongoza serikali ya uuaji na ikifika 2025 atamgeuka na kusema hapaswi kupewa nafasi. Naamini Watanzania wapo macho na hawa waheshimiwa ambao ni wabaya sana
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Hii ni awamu ya sita broo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa nchi hii ndio mungu, anaweza kufanya lolote na asifanywe lolote. Kwamba Magufuli ndio alikuwa anatoa maagizo ya wafu kufanyiwa unyama hayana ubishi. We baki kusema sijui ni awamu ya tano, sijui ya sita hilo utajua ww.
Ndo maana watu wanataka katiba yao ambayo itaondoa umungu wa rais. Watu wameokotwa ktk viroba, watu wamejazwa marisasi mwilini, wengine wamepotezwa ktk mazngra tatanishi...nk. hakna upelelezi - wanatoa majbu rahsi eti "wasiojulikana"
Halafu wanagwaya wakiskia neno KATIBA MPYA. Wanaogopa yatawatokea puani
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Kama ulihusika Msako wa mtu na mtu upo NJIANI...Dunia lazima ujuwe HILI ..Ben ni Azory wapo WAPI
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Muda ni mwalimu mzuri sana.Tuliposema JPM ni dikteta katili uchwara mlibisha,ila sasa mnaanza kutajana!Hii kauli ya Ben Membe inathibitisha kuwa serikali ya JPM ilihusika na utekaji,mauaji na kupiga wananchi shaba mchana kweupe?
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Ila Mimi huwa namshangaa anayebisha Magufuli kuwa muuaji!!!

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom