abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Karejee katiba we nguchiro,nchi hii Rais ni alfa na omega
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.