Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Wewe yaelekea ndio ulikuwa unatumwa kuteka na kuua maana Roho inakuuma Sana membe kuongelea hilo suala
TISS ni wale wale wale, JWTZ ni wale wale, polisi ni wale wale, Waziri mkuu ni yule yule, makamu wa rais ambaye ndiye rais (ondoa tu neno Makamu ili iwe rais) ni yule yule. Kwa hiyo nadhani Mh. Membe ana matatizo binafsi na serikali ya Mama Samia, ni mnafiki maana kaongea hivyo kuonesha Mama Samia alikuwa Muuaji anaongoza serikali ya uuaji na ikifika 2025 atamgeuka na kusema hapaswi kupewa nafasi. Naamini Watanzania wapo macho na hawa waheshimiwa ambao ni wabaya sanaKwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Hii ni awamu ya sita brooKwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Ndo maana watu wanataka katiba yao ambayo itaondoa umungu wa rais. Watu wameokotwa ktk viroba, watu wamejazwa marisasi mwilini, wengine wamepotezwa ktk mazngra tatanishi...nk. hakna upelelezi - wanatoa majbu rahsi eti "wasiojulikana"Rais wa nchi hii ndio mungu, anaweza kufanya lolote na asifanywe lolote. Kwamba Magufuli ndio alikuwa anatoa maagizo ya wafu kufanyiwa unyama hayana ubishi. We baki kusema sijui ni awamu ya tano, sijui ya sita hilo utajua ww.
Itakuwa ya 6 kama samia atachaguliwa 2025.
Kama ulihusika Msako wa mtu na mtu upo NJIANI...Dunia lazima ujuwe HILI ..Ben ni Azory wapo WAPIKwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Muda ni mwalimu mzuri sana.Tuliposema JPM ni dikteta katili uchwara mlibisha,ila sasa mnaanza kutajana!Hii kauli ya Ben Membe inathibitisha kuwa serikali ya JPM ilihusika na utekaji,mauaji na kupiga wananchi shaba mchana kweupe?Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Well NOTED !!!Muda ni mwalimu mzuri sana.Tuliposema JPM ni dikteta katili uchwara mlibisha,ila sasa mnaanza kutajana!Hii kauli ya Ben Membe inathibitisha kuwa serikali ya JPM ilihusika na utekaji,mauaji na kupiga wananchi shaba mchana kweupe?
Siyo kweli,katika serikali iliyopita,ambayo ni ya CCM ile ile amepungua JPM pekee.Timu nzima ni ile ile na ubishi wa Katiba Mpya ni ule ule.
Mta tajana tu....the World is dynamicHawa watu sijui walifikaje kwenye nafasi za juu za uongozi wa nchi.
Wana tabia za kiswahili mno.
Ila Mimi huwa namshangaa anayebisha Magufuli kuwa muuaji!!!Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.