Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Kwa hyo nawe angekuja kwako hata ale jicho ungekubaliana nae? πŸ˜‚ akili zenu ni fyatu sana

Mimi sijawahi kutetemekea madaraka, nyie mnaotetemekea madaraka ndio huwa mnaliwa ndogo.
 
Mimi sijawahi kutetemekea madaraka, nyie mnaotetemekea madaraka ndio huwa mnaliwa ndogo.
Kwa hiyo maza alitetemekea madaraka ndo maana hakuchukua hatua yyte? 😁😁 kweli tunaongozwa na mtu muoga sana sku hz, atawatetemekea makaburu wezi kisa ni wakubwa kwake.
 
Siyo kweli. Rais anafanya uteuzi kwa kumshirikisha makamu, huwezi kufanya maamzi ya nchi kivyako ni uongo mnajifichia tu. Samia alihusika sana ndo maana hadi kupigwa risas lisu alisema mpigaji hakuwa askari wao maana wa kwao wanashabaha sana.

Magufuli alikuwa hamuhusishi Samia kwenye teuzi zake. Kama ni kumshirikisha basi ilikuwa kidogo sana. Kama angekuwa anamshirikisha basi hata kutangaza msiba wake asingetangazia Tanga.
 
Kwa hiyo maza alitetemekea madaraka ndo maana hakuchukua hatua yyte? 😁😁 kweli tunaongozwa na mtu muoga sana sku hz, atawatetemekea makaburu wezi kisa ni wakubwa kwake.

Atachukua hatua gani wakati kwake madaraka ni kila kitu kwake?
 
Kwahiyo mliompenda ni nyie aliowaruhusu kuiba?
Tulioona kazi zikienda sawa kwa uadilifu bila mtu kujiona bora zaidi ya wenzake. Hadi CHADEMA Mdee alijiona yuko sawa na mbowe 😁
 
Hakutoa kauli ya kulaani lile tendo.
 
Wakati mwingine inabidi watu watumie ubongo kufikiri kuliko kutumia tumbo kwenye kufikiri. Hivi wewe kwa akili yako ilivyo chafu kama oil chafu ungeweza kumpinga Magufuli? Kuna mtu aliyejaribu akawa immune na huyo DICTATOR? Jifunze kutokana na historia, je madikteta wanaweza kuambia lolote na walio chini yao? Angalia mfano wa Bokassa, nani aliongea akabaki hata aliyekuwa makamu wa rais, Iddi Amin, hukuona Makamu wakibadilika kama uyoga, kama jaji mkuu aliweza kuuawa seuze makamu wa rais. Jifunze ujue jinsi madikteta wanavyofanya kazi....Angalia tu mfano wa Kenyatta na Rutto, hawa ni watu wawill wasioongea na kufanya kazi pamoja...ni mahasimu, ni kwamba Uhuru hawezi mfanya lolote Rutto, Ingekuwa ni Magufuli, huyo makamu awe Samia au nani angesweka jela.....Wewe unapenda kukaa jela na familia yako iumizwe? Acheni midomo nyiye binadamu wajinga, kusema ni rahisi lakini ingia ndani ucheze hiyo ngoma uone. Kwanza hii siyo awamu ya tano....huyu ni rais wa awamu mpya, awamu hazihesabiwi namna anavyohesabu huyo Polepole wenu.
 
Katiba ya JMT ndio inahesabu awamu.

Kama serikali ya awamu ya tano ilikuwa na uovu basi makamu wa rais alipaswa kujiuzulu.
 
Na Rais alikuwa Magufuli. Culprit bado ni Magufuli kwa sababu ilikuwa Serikali ya Magufuli kama alivyokuwa akijitapa.
 
Katiba ya JMT ndio inahesabu awamu.

Kama serikali ya awamu ya tano ilikuwa na uovu basi makamu wa rais alipaswa kujiuzulu.
Alipaswa ajiuzulu? c'mon, halafu aje akaombe pesa za kuilisha familia yake kwako? Alitaka lakini mvumilivu hula mbivu, na pia kujiuzulu hakusaidi kutatua tatizo. Imekuwa bora hakujiuzulu, je tungepata rais mwenye busara kama yeye sasa?
 
Katiba ya JMT ndio inahesabu awamu.

Kama serikali ya awamu ya tano ilikuwa na uovu basi makamu wa rais alipaswa kujiuzulu.
Katiba haihesabu awamu wewe, kaisome vizuri au leta hilo kifungu kinachosema hii ni awamu ya ngapi? Rais mpya ni awamu kaka. Usitufanye wajinga. Wewe kamfuate polepole huko Malawi
 
Mnamtetea mwuaji yule!
 
Nimekuwa futuhi mimi wa kupost kitu cha kuchekesha kila mtu? Msitumie nguvu kupromote mtu watu wanajionea wenyewe, uziri haongozi mataahira tu.

Honestly sijui hata unaongea ukhanithi gani dogo.
 
Alipaswa ajiuzulu? c'mon, halafu aje akaombe pesa za kuilisha familia yake kwako? Alitaka lakini mvumilivu hula mbivu, na pia kujiuzulu hakusaidi kutatua tatizo. Imekuwa bora hakujiuzulu, je tungepata rais mwenye busara kama yeye sasa?
Kiwango chako cha kupambanua mambo duni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…