Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Risasi hadharani mbona zinapigwa hadi kwa wanandoa siku hizi. 😂😂 pumbavuni sana, sa hivi watu wanajichukulia sheria mikononi tu. Unaweza kuzinguana na kimada akakushuti tu.Mambo mengi yamebadilika. Hakuna kutekwa na kupigwa risasi hadharani. Watu wanafurahia nchi yao.