Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Mambo mengi yamebadilika. Hakuna kutekwa na kupigwa risasi hadharani. Watu wanafurahia nchi yao.
Risasi hadharani mbona zinapigwa hadi kwa wanandoa siku hizi. 😂😂 pumbavuni sana, sa hivi watu wanajichukulia sheria mikononi tu. Unaweza kuzinguana na kimada akakushuti tu.
 
TISS ni wale wale wale, JWTZ ni wale wale, polisi ni wale wale, Waziri mkuu ni yule yule, makamu wa rais ambaye ndiye rais (ondoa tu neno Makamu ili iwe rais) ni yule yule. Kwa hiyo nadhani Mh. Membe ana matatizo binafsi na serikali ya Mama Samia, ni mnafiki maana kaongea hivyo kuonesha Mama Samia alikuwa Muuaji anaongoza serikali ya uuaji na ikifika 2025 atamgeuka na kusema hapaswi kupewa nafasi. Naamini Watanzania wapo macho na hawa waheshimiwa ambao ni wabaya sana
JWTz na TISS, command inatoka Kwa rais TU.

Hao polisi au uhamiaji na magereza command inatoka hata Kwa mwenyekiti wa kijiji.

Soma taratibu za kiutendaji wa vyombo mbalimbali utaelewa.
 
Nyie ndi miuaji na makuli mliokuwa mnabeba viroba kumfurahisha huyo mungu wenu feki aliyepigwa kama lile lisanamu la ndama walilojitengenezea nyikani. Laana inakusumbua, haya kwa kuwa wewe unajua twambie sasa katika linchi la wapuuzi kama nyinyi makamu wa Rais anashirikije na Samia ulimuona akishiriki namna gani?
Kwa hiyo askari walikuwa karbu sana na magu kuliko mama mwenyewe? Atuambie km hakuwa na sauti alipata wapi nguvu za kusema alompiga risasi lissu hakuwa polisi wao maana hawez kumkosa mtu kwa risas nyingi vile.
 
Kama ulihusika Msako wa mtu na mtu upo NJIANI...Dunia lazima ujuwe HILI ..Ben ni Azory wapo WAPI
Hao ndo watu? Akipotea mwanangu basi haina maana 😂😂 mbona juzi tu mtu alikutwa kauliwa huko mwanza. Wauaji aliwatuma rais?
 
Rais samia alikua hana kauli wakati akiwa vice president nchi ilikua inaendeshwa na dikteta jiwe.
Sa hivi pia hana kauli, inaendeshwa na msoga tu ndo maaana walamba asali wanakamua na kusifu.
 
Hii siyo awamu ya sita!! Hii bado ni awamu ya tano!! Awamu huchaguliwa na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu. Kila awamu huchaguliwa ikiwa na Rais na makamu wake. Rais akifariki, makamu wake hushika usukani kuendeleza awamu hiyo hiyo!! Yawezekana kuna mambo wanayaonea aibu kwenye awamu ya tano na wanalazimisha kujitenga nayo jambo ambalo haliwezekani!! Kama ni sifa ni yao wote na kama ni lawama au fedheha ni yao wote!!
Pumbafu
 
Mama alihusika kutoa maagizo ya kupiga risasi ndo maana akasema mwenyewe, alompiga risasi lisu hakuwa askari wao maana askari wao ana shabaha sana. Akamtia gaidi ndani miez 8
 
Back
Top Bottom