Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

Niwe mkweli, sioni haja yoyote ya kuungana mkono, maana huko mbeleni huwa kunazuka tafrani zisizo na sababu yoyote.

Cha muhimu tu wakati wa kampeni vyama hivi visishambuliane kuonyesha vinashindana vyenyewe kwa vyenyewe badala ya kushindana na CCM.

Hayo unayoona huko Zanzibar ni ngome ya Seif, lakini ushindi wa kweli wa CHADEMA uko huku bara. Na kwa upande huu wa bara, cdm ina uungwaji mkono wa kutosha.

Muungano wa Ukawa umewafanya CUF & NCCR kuleta tafrani zenye kuharibu haiba ya CHADEMA, jambo ambalo sio sahihi kujirudia sasa.
Nakaribia kufanana na wewe mawazo. Huu muungano wa hivi vyama viwili kuna wakati nikiuangalia kwa ndani zaidi naona ni nguvu ya wanachama na wapenzi ndio inayowasukuma viongozi wa hivyo vyama kutaka kuungana, lakini sioni kama kuungana ni wazo la dhati toka ndani ya mioyo ya viongozi.

Zaidi kila chama kina nguvu upande wake, hapa mantiki ya muungano inakuwa ni ipi? sawa hawataki kugawa kura ili CCM ashinde, lakini je, kwa hali halisi ilivyo bara, kwasababu Chadema ndio inakubalika zaidi, ACT watakuwa tayari kuona majimbo mengi wanapewa Chadema waweke mgombea? na hata kama Chadema wataweka mgombea, ni ipi nguvu ya ACT kumsaidia mgombea wa Chadema kupata ushindi, kwa sababu bara haina nguvu, na hii scenario ina apply upande wa Chadema Zanzibar, kwamba ACT wanaweza simamisha mgombea akashinda ubunge Zanz bila nguvu ya Chadema.

Kwa namna hiyo hapo juu, sioni ni lwa namna gani huo muungano wao utavisaidia hivyo vyama viwili, kwa maana kila kimoja kina nguvu sana upande mmoja na upande mwingine hakina nguvu kabisa.
 
Hakuna dalili ya kumuunga mkono Lissu hapo labda huyo Lissu ndio amuunge mkono Membe, hapo wamekutana wote waroho wa madaraka hivyo hakuna wa kumuachia mwenzake hapo.

Ukiangalia nguvu ya ACT ni ndogo sana, labda Zanzibar kwa ajili ya uwepo wa Maalim Seif. Kwa huku Bara Membe ana ushawishi karibu na sifuri. Hakuna waroho wa madaraka nchi hii kama viongozi wa ccm, ndio maana wakisikia tume huru ya uchaguzi wako tayari hata kuua. Kilichotokea chaguzi za marudio, uchaguzi wa SM na hizi rushwa za wazi wakati wa kura za maoni za ccm, ni kielelezo tosha cha tamaa hiyo ya madaraka ya wanaccm.
 
Mkuu we unadhani itakuwa rahisi kwao kufanya kampeni bila kushambuliana?
Njia pekee hapo ili kuondoa kitisho Cha kuzigawa kura za wapinzani ni wao kuungana na kumsimamisha mgombea mmoja tofauti na hapo basi hakuna namna nyingine ya kuwafanya wawe wamoja kwenye kampeni.
 
Tuache kujidanganya mkuu Zitto sio mjinga yupo kwaajili ya kuimarisha chama chake huyo, hayo ya kuungana na CHADEMA hawezi kuyakubali huyo.
 
Nakaribia kufanana na wewe mawazo. Huu muungano wa hivi vyama viwili kuna wakati nikiuangalia kwa ndani zaidi naona ni nguvu ya wanachama na wapenzi ndio inayowasukuma viongozi wa hivyo vyama kutaka kuungana, lakini sioni kama kuungana ni wazo la dhati toka ndani ya mioyo ya viongozi.

Zaidi kila chama kina nguvu upande wake, hapa mantiki ya muungano inakuwa ni ipi? sawa hawataki kugawa kura ili CCM ashinde, lakini je, kwa hali halisi ilivyo bara, kwasababu Chadema ndio inakubalika zaidi, ACT watakuwa tayari kuona majimbo mengi wanapewa Chadema waweke mgombea? na hata kama Chadema wataweka mgombea, ni ipi nguvu ya ACT kumsaidia mgombea wa Chadema kupata ushindi, kwa sababu bara haina nguvu, na hii scenario ina apply upande wa Chadema Zanzibar, kwamba ACT wanaweza simamisha mgombea akashinda ubunge Zanz bila nguvu ya Chadema.

Kwa namna hiyo hapo juu, sioni ni lwa namna gani huo muungano wao utavisaidia hivyo vyama viwili, kwa maana kila kimoja kina nguvu sana upande mmoja na upande mwingine hakina nguvu kabisa.

Uko sahihi kabisa, imejionyesha dhahiri bila shaka uwezo wa hivi vyama kuungana haupo, na haya mashinikizo ya kuungana ni ya washabiki ambao hawajui kwa uhakika namna vyama hivi vinavyoendeshwa. Matokeo yake vyama kweli vinaweza kuungana, kisha kwa sababu mbalimbali za kiuendeshaji ndani ya hivyo vyama, zikaanza changamoto ambazo hupelekea kuharibu haiba ya vyama husika. Ni nani asiyejua kuwa Mbowe na Zito hawana mahusiano mazuri, na sehemu kubwa ya maamuzi yao huwa yana influence maamuzi ya vyama vyao? Naona ni rahisi zaidi kuungana kwa na kusimama kwa ajenda za pamoja, kuliko kuungana ili kuachiana nafasi za kugombea.
 
Hakuna dalili ya kumuunga mkono Lissu hapo labda huyo Lissu ndio amuunge mkono Membe, hapo wamekutana wote waroho wa madaraka hivyo hakuna wa kumuachia mwenzake hapo.
Nenda jeneralonline ukasikilize. Makubaliano tayari ya kushirikiana.
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia Edward nae alisema akichukua nchi kupitia Chadema atawaachia masheikh wa uamsho.
Bila Jecha kupindua matokeo Maalim Sefu alishinda uchaguzi Zanzibar. Hapa Bara Makamba na timu yake walifanya yao.
 
Mkuu we unadhani itakuwa rahisi kwao kufanya kampeni bila kushambuliana?
Njia pekee hapo ili kuondoa kitisho Cha kuzigawa kura za wapinzani ni wao kuungana na kumsimamisha mgombea mmoja tofauti na hapo basi hakuna namna nyingine ya kuwafanya wawe wamoja kwenye kampeni.

Kwa sasa naona cdm na ACT wako kwenye mahusiano mazuri, sioni hilo la kushambuliana likitokea, labda hiyo kushambuliana iwe ni matamanio ya ccm. Hata hivyo wana kipi cha kushambuliana, maana ACT ina nguvu Zanzibar, ambapo cdm haina uungwaji mkono, na ACT kwa huku bara ina nguvu kidogo hasa kusini, na kigoma anakotokea Zito. Cdm kwa upinzani ndio yenye nguvu huku bara, na kwa bahati nzuri kwenye ngome za cdm ACT haina nguvu yoyote. Tatizo la msingi sio ACT na cdm kuungana, bali ni tume isiyo huru ya uchaguzi.

Kwahiyo kuungana kwa ACT na Cdm ni kwa ajili ya faraja ya kisaikolojia zaidi, kuliko nguvu halisi ya kiushindani, maana hakuna anayeweza kugawa kura za mwenzake sehemu anayokubalika, kwani hawana nguvu za ushawishi sawa kwenye ngome zao.
 
Tuache kujidanganya mkuu Zitto sio mjinga yupo kwaajili ya kuimarisha chama chake huyo, hayo ya kuungana na CHADEMA hawezi kuyakubali huyo.

Kwani ukiangalia vizuri ni nani anayetaka kuungana zaidi kati ya ACT na Cdm?
 
Back
Top Bottom