BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
Halafu yeye alikuwa kwenye mfumo wakati wanawekwa ndani naamini anajua...Yani wangejua aisee wasingeongea hayo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu yeye alikuwa kwenye mfumo wakati wanawekwa ndani naamini anajua...Yani wangejua aisee wasingeongea hayo...
Nakaribia kufanana na wewe mawazo. Huu muungano wa hivi vyama viwili kuna wakati nikiuangalia kwa ndani zaidi naona ni nguvu ya wanachama na wapenzi ndio inayowasukuma viongozi wa hivyo vyama kutaka kuungana, lakini sioni kama kuungana ni wazo la dhati toka ndani ya mioyo ya viongozi.Niwe mkweli, sioni haja yoyote ya kuungana mkono, maana huko mbeleni huwa kunazuka tafrani zisizo na sababu yoyote.
Cha muhimu tu wakati wa kampeni vyama hivi visishambuliane kuonyesha vinashindana vyenyewe kwa vyenyewe badala ya kushindana na CCM.
Hayo unayoona huko Zanzibar ni ngome ya Seif, lakini ushindi wa kweli wa CHADEMA uko huku bara. Na kwa upande huu wa bara, cdm ina uungwaji mkono wa kutosha.
Muungano wa Ukawa umewafanya CUF & NCCR kuleta tafrani zenye kuharibu haiba ya CHADEMA, jambo ambalo sio sahihi kujirudia sasa.
Halafu yeye alikuwa kwenye mfumo wakati wanawekwa ndani naamini anajua...
Hakuna dalili ya kumuunga mkono Lissu hapo labda huyo Lissu ndio amuunge mkono Membe, hapo wamekutana wote waroho wa madaraka hivyo hakuna wa kumuachia mwenzake hapo.
Mkuu we unadhani itakuwa rahisi kwao kufanya kampeni bila kushambuliana?Niwe mkweli, sioni haja yoyote ya kuungana mkono, maana huko mbeleni huwa kunazuka tafrani zisizo na sababu yoyote.
Cha muhimu tu wakati wa kampeni vyama hivi visishambuliane kuonyesha vinashindana vyenyewe kwa vyenyewe badala ya kushindana na CCM.
Hayo unayoona huko Zanzibar ni ngome ya Seif, lakini ushindi wa kweli wa CHADEMA uko huku bara. Na kwa upande huu wa bara, cdm ina uungwaji mkono wa kutosha.
Muungano wa Ukawa umewafanya CUF & NCCR kuleta tafrani zenye kuharibu haiba ya CHADEMA, jambo ambalo sio sahihi kujirudia sasa.
Tuache kujidanganya mkuu Zitto sio mjinga yupo kwaajili ya kuimarisha chama chake huyo, hayo ya kuungana na CHADEMA hawezi kuyakubali huyo.Ukiangalia nguvu ya ACT ni ndogo sana, labda Zanzibar kwa ajili ya uwepo wa Maalim Seif. Kwa huku Bara Membe ana ushawishi karibu na sifuri. Hakuna waroho wa madaraka nchi hii kama viongozi wa ccm, ndio maana wakisikia tume huru ya uchaguzi wako tayari hata kuua. Kilichotokea chaguzi za marudio, uchaguzi wa SM na hizi rushwa za wazi wakati wa kura za maoni za ccm, ni kielelezo tosha cha tamaa hiyo ya madaraka ya wanaccm.
Nakaribia kufanana na wewe mawazo. Huu muungano wa hivi vyama viwili kuna wakati nikiuangalia kwa ndani zaidi naona ni nguvu ya wanachama na wapenzi ndio inayowasukuma viongozi wa hivyo vyama kutaka kuungana, lakini sioni kama kuungana ni wazo la dhati toka ndani ya mioyo ya viongozi.
Zaidi kila chama kina nguvu upande wake, hapa mantiki ya muungano inakuwa ni ipi? sawa hawataki kugawa kura ili CCM ashinde, lakini je, kwa hali halisi ilivyo bara, kwasababu Chadema ndio inakubalika zaidi, ACT watakuwa tayari kuona majimbo mengi wanapewa Chadema waweke mgombea? na hata kama Chadema wataweka mgombea, ni ipi nguvu ya ACT kumsaidia mgombea wa Chadema kupata ushindi, kwa sababu bara haina nguvu, na hii scenario ina apply upande wa Chadema Zanzibar, kwamba ACT wanaweza simamisha mgombea akashinda ubunge Zanz bila nguvu ya Chadema.
Kwa namna hiyo hapo juu, sioni ni lwa namna gani huo muungano wao utavisaidia hivyo vyama viwili, kwa maana kila kimoja kina nguvu sana upande mmoja na upande mwingine hakina nguvu kabisa.
Nenda jeneralonline ukasikilize. Makubaliano tayari ya kushirikiana.Hakuna dalili ya kumuunga mkono Lissu hapo labda huyo Lissu ndio amuunge mkono Membe, hapo wamekutana wote waroho wa madaraka hivyo hakuna wa kumuachia mwenzake hapo.
Bila Jecha kupindua matokeo Maalim Sefu alishinda uchaguzi Zanzibar. Hapa Bara Makamba na timu yake walifanya yao.Kumbukumbu zangu zinaniambia Edward nae alisema akichukua nchi kupitia Chadema atawaachia masheikh wa uamsho.
Hiki ulichopost kina uhusiano gani na ishu ya mashehe? Au ndio lack of sense?Bila Jecha kupindua matokeo Maalim Sefu alishinda uchaguzi Zanzibar.
Muungano tayari ushakubaliwa. Msikilize Zitto jeneralonlineMatokeo yake vyama kweli vinaweza kuungana, kisha kwa sababu mbalimbali za kiuendeshaji ndani ya hivyo vyama,
Endapo Jecha angetenda haki na Maalim Sefu kupewa ushindi wake mashehe wa uamusho wangeachiwa huru.Hiki ulichopost kina uhusiano gani na ishu ya mashehe? Au ndio lack of sense?
Kwani angekuea rais wa JMT.Endapo Jecha angetenda haki na Maalim Sefu kupewa ushindi wake mashehe wa uamusho wangeachiwa huru.
Mkuu we unadhani itakuwa rahisi kwao kufanya kampeni bila kushambuliana?
Njia pekee hapo ili kuondoa kitisho Cha kuzigawa kura za wapinzani ni wao kuungana na kumsimamisha mgombea mmoja tofauti na hapo basi hakuna namna nyingine ya kuwafanya wawe wamoja kwenye kampeni.
Nayapenda na kuyaheshimu sana Mpwa, shukraniWewe kama hupendi maoni ya wengine basi hili jukwaa halikufai mkuu.
Zitto anasema mgombea atakuwa mmoja kati ya chadema na act sijui hizi kauli membe anazitoa wapi au anajaribu kuwa yeye ndie anae faa zaidLabda Rais wa Wasafi
Tuache kujidanganya mkuu Zitto sio mjinga yupo kwaajili ya kuimarisha chama chake huyo, hayo ya kuungana na CHADEMA hawezi kuyakubali huyo.
Zitto ni bingwa wa ndimi mbili na alisha sema usimwamini mwanasiasaHuyu atamuunga mkokno Lissu au atasimama yeye kama yeye?