Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kumbe sio sheria mbaya ila mmechelewa kuungana na kumteua Membe.Mimi sio mwanasheria mpaka nikupe vifungu. Ila sheria mbaya ni lazima vyama vinavyotaka kuungana, viungane kisheria miezi mitatu kabla ya kampeni/uchaguzi. Na taarifa hii lazima iende kwa msajili wa vyama vya siasa aidhinishe.
Wanaweza wasiungane lakini wakawa na makubaliano ambayo yatakwepa figisu za msajili.Mimi sio mwanasheria mpaka nikupe vifungu. Ila sheria mbaya ni lazima vyama vinavyotaka kuungana, viungane kisheria miezi mitatu kabla ya kampeni/uchaguzi. Na taarifa hii lazima iende kwa msajili wa vyama vya siasa aidhinishe.
Kumbe sio sheria mbaya ila mmechelewa kuungana na kumteua Membe.
Kama mlijua mnatakiwa kuungana miezi mitatu kabla ya kampeni na Membe mnahitaji kwa udi na uvunba mbona mlichelewa?Ni sheria nzuri kwa walioitunga.
Membe hafai kuwa rais hata wa msafara wa panya kumkaribisha upinzani na kuja kuwa mgombea kwenye chama chenu is political masturbation.nimem disqualify kabisa aliposema eti corruption imekuwa curbed under this regime.
he's a joke!
Kama mlijua mnatakiwa kuungana miezi mitatu kabla ya kampeni na Membe mnahitaji kwa udi na uvunba mbona mlichelewa?
Membe hafai kuwa rais hata wa msafara wa panya kumkaribisha upinzani na kuja kuwa mgombea kwenye chama chenu is political masturbation.
Kama chama chetu kimekosa mgombea wa urais tupiganie ubunge muda muafaka ukifika tutasimamisha hao wagombea.
Hiyo ni biashara yao hivyo, hizo hesabu wanazijua sana kuliko wewe. Hakuna mpinzani ana mpango wala uwezo wa kuing'oa CCM zaidi ya kusaka asilimia fulani za kura ili akidhi vigezo vya kupata ruzuku. Ukitaka kujua hilo, leo vita kubwa iko baina ya vyama vya upinzani. Wanachukiana isivyo mithirika kisa ruzuku na uongozi wa kambi ya upinzani.Ni maamuzi magumu ila ndo effective katika kumshinda Magufuli. Wanaweza kuelewana waziri mkuu, mgombea mwenza. Pia katika mawaziri watoke vyama vingine. Yaani wakifanya hivyo ndo watafanikiwa kuing'oa CCM. Otherwise wataendelea kugawana kura.
Basi kumbe wanaipenda CCM. Otherwise wangechukua risk once and for all.Kama nia ni kuing'oa CCM basi ni lazima asimame mgombea chama kimoja wengine wampigie campaign.Hiyo ni biashara yao hivyo, hizo hesabu wanazijua sana kuliko wewe. Hakuna mpinzani ana mpango wala uwezo wa kuing'oa CCM zaidi ya kusaka asilimia fulani za kura ili akidhi vigezo vya kupata ruzuku. Ukitaka kujua hilo, leo vita kubwa iko baina ya vyama vya upinzani. Wanachukiana isivyo mithirika kisa ruzuku na uongozi wa kambi ya upinzani.
aende kwenye chama cha SAm Sitta na Makonda, CCKWaziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Membe amesifia sehemu ya utendaji kazi wa Magufuli, lakini ameyataja baadhi ya mambo ambayo anasema ikiwa hayatabadilishwa, basi yataitumbukiza nchi matatani. Katika mahojiano haya maalum na mwandishi wa BBC Sammy Awami kutoka nyumbani kwake, katika kijiji alichozaliwa Membe alianza kwa kutoa tathmini ya uongozi wa Rais Magufuli.
Chanzo: BBC
Better to learn more about these word coaliton,an opposion party and opposion partiesYou are so outdated. Ina maana hizi bad law za kipindi hiki cha Magufuli wala huzijui!
Kwa hawa wabinafsi haitakuja tokea; na hasa wanatumia UKAWA kama bad precedence kuhalalisha utengano wao. Anyway, humu Africa swala la kupigania uongozi mostly sio kwa maslahi ya nchi bali self gains.Basi kumbe wanaipenda CCM. Otherwise wangechukua risk once and for all.Kama nia ni kuing'oa CCM basi ni lazima asimame mgombea chama kimoja wengine wampigie campaign.
Kumpa ridhaa ? yeye kama nani? Hebu upinzani uache siasa hizi za majitaka za kuchukua reject wa ccm. Imeshathibitika kwamba reject wa ccm hawasaidii kitu na hata huyu mnayemsemea sana hana jipyaWaziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Na wanaccm huwa wanapigania maslahi ya nani ?Kwa hawa wabinafsi haitakuja tokea; na hasa wanatumia UKAWA kama bad precedence kuhalalisha utengano wao. Anyway, humu Africa swala la kupigania uongozi mostly sio kwa maslahi ya nchi bali self gains.
Nani hataki ruzuku mpaka amuachie mwenzake kugombea?