SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hahahha... Umejibu kinyonge kweli yani! Bahati mbaya sana wanachoamua kina Mbowe nyie hamna la kupinga!Hapana,hawa CCM hawaaminiki.
Kwahiyo Lisu, Mbowe, Zitto, Nyalandu and the like siyo watu makini?Ebu tulia mkuu tunaitaji mtu makini
Jiandae kudeki barabara na kuzungusha mikono!Huu uchaguzi wa mwaka huu nashindwa kuuelewa , vzr
Magufuli apendwi ilo liko wazi je vp kuhusu Membe na Chadema.
Ebu tulia kwanza usipende kuqouet watu hovyo hovyo.Kwahiyo Lisu, Mbowe, Zitto, Nyalandu and the like siyo watu makini?
Hahahha... Umejibu kinyonge kweli yani! Bahati mbaya sana wanachoamua kina Mbowe nyie hamna la kupinga!
Tulikuwa tunawaonya humu kwamba acheni kumshabikia Membe atakuja kuwadekisha barabara na kuwazungusha mikono tena. Nyie mkashupaza shingo eti mnachochea kuni!
Sijui ndugu yangu tindo anazemaje kuhusu hili
Faida za kumkubali Membe ni nyingi kuliko hasara kama ilivyokuwa kwa Mamvi.
Membe ataleta hamasa ya wanachama na wasiowanachama kupigia kura ya ndiyo kwa madiwani , wabunge na hata kugawana /kupunguza kura za urais.
πππAkipatikana tu mnunuzi wa nafasi ya Urais,Lisu aandike maumivu.
Hahahha... Umejibu kinyonge kweli yani! Bahati mbaya sana wanachoamua kina Mbowe nyie hamna la kupinga!
Tulikuwa tunawaonya humu kwamba acheni kumshabikia Membe atakuja kuwadekisha barabara na kuwazungusha mikono tena. Nyie mkashupaza shingo eti mnachochea kuni!
Sijui ndugu yangu tindo anazemaje kuhusu hili
[/QUO
Mwiba wa samaki umembana kooniπππ
Huwezi ukalinganisha msuli wa kisiasa aliokuwa nao Lowasa mwaka 2015 na Membe. Kumkaribisha Membe itakuwa political suicide.C
Uchaguzi ulopita CDM walipata wabunge na madiwani wengi sababu ya uwepo wa Ukawa na Lowasa.
Mkaribesheni Membe faida mtazopata ni nyingi kuliko hasara.
Mmekaa kimtegomtego tu,yaani muongeze madiwani na WABUNGE...URAIS si lengo lenu....πππFaida za kumkubali Membe ni nyingi kuliko hasara kama ilivyokuwa kwa Mamvi.
Membe ataleta hamasa ya wanachama na wasiowanachama kupigia kura ya ndiyo kwa madiwani , wabunge na hata kugawana /kupunguza kura za urais.
Mkaribisheni tu ili tuisome hitimaπHuwezi ukalinganisha msuli wa kisiasa aliokuwa nao Lowasa mwaka 2015 na Membe. Kumkaribisha Membe itakuwa political suicide.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea.Mkaribisheni tu ili tuisome hitima[emoji23]
Muwe mnaweka na vyanzo vya habari zenu, sio mnakurupuka tu na kuanzisha thread.