Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

Hapana,hawa CCM hawaaminiki.
Hahahha... Umejibu kinyonge kweli yani! Bahati mbaya sana wanachoamua kina Mbowe nyie hamna la kupinga!

Tulikuwa tunawaonya humu kwamba acheni kumshabikia Membe atakuja kuwadekisha barabara na kuwazungusha mikono tena. Nyie mkashupaza shingo eti mnachochea kuni!

Sijui ndugu yangu tindo anazemaje kuhusu hili
 
Faida za kumkubali Membe ni nyingi kuliko hasara kama ilivyokuwa kwa Mamvi.

Membe ataleta hamasa ya wanachama na wasiowanachama kupigia kura ya ndiyo kwa madiwani , wabunge na hata kugawana /kupunguza kura za urais.
 
Kwani hiyo ina tatizo gani si ni mapenzi ya wanachama wenyewe?!

Ni vijimambo tu hivyo wala siyo ishu wala nini.

Ni mizuka ya campaign za uchaguzi hiyo was siyo ishu.

Mbona wengine wanapiga pushap
 
Wewe Membe zamani zile za ujinga zilikoma 2015, EL alitumwa kama wewe ulivyotumwa Kuja kutuvuruga wapenda mabadiliko.

Nakushauri uanzishe Chama chako ili kikupe ridhaa ya kugombea urais unaoutaka, ila kujichomeka kwa wapinzani hapo ninakuambia wazi kwenda zako shetani!!
 
Rudi nyuma shetani
Faida za kumkubali Membe ni nyingi kuliko hasara kama ilivyokuwa kwa Mamvi.

Membe ataleta hamasa ya wanachama na wasiowanachama kupigia kura ya ndiyo kwa madiwani , wabunge na hata kugawana /kupunguza kura za urais.
 
Mwiba wa samaki
Hahahha... Umejibu kinyonge kweli yani! Bahati mbaya sana wanachoamua kina Mbowe nyie hamna la kupinga!

Tulikuwa tunawaonya humu kwamba acheni kumshabikia Membe atakuja kuwadekisha barabara na kuwazungusha mikono tena. Nyie mkashupaza shingo eti mnachochea kuni!

Sijui ndugu yangu tindo anazemaje kuhusu hili
[/QUO
Mwiba wa samaki umembana kooni😂😂😂
 
C
Uchaguzi ulopita CDM walipata wabunge na madiwani wengi sababu ya uwepo wa Ukawa na Lowasa.

Mkaribesheni Membe faida mtazopata ni nyingi kuliko hasara.
Huwezi ukalinganisha msuli wa kisiasa aliokuwa nao Lowasa mwaka 2015 na Membe. Kumkaribisha Membe itakuwa political suicide.
 
Faida za kumkubali Membe ni nyingi kuliko hasara kama ilivyokuwa kwa Mamvi.

Membe ataleta hamasa ya wanachama na wasiowanachama kupigia kura ya ndiyo kwa madiwani , wabunge na hata kugawana /kupunguza kura za urais.
Mmekaa kimtegomtego tu,yaani muongeze madiwani na WABUNGE...URAIS si lengo lenu....😂😂😂
 
Muwe mnaweka na vyanzo vya habari zenu, sio mnakurupuka tu na kuanzisha thread.

Mkuu kuna kila dalili kuwa ww ni mzee, au kama ni kijana ni wale wavuvi wa kusoma. Hujaona kuwa chanzo ni BBC? Hata hivyo Membe ni tapeli wa kisiasa kama alivyo tapeli mwenzake Lowassa. Na iwapo wapinzani watampa nafasi tutawapa ukweli wao live bila kuuma maneno.
 
Ni aibu Maembe kushindana na Magu, Membe akigombea ubunge ni saizi yake si urais!! viatu vya urais ni oversaizi kwake!! Maembe tunamfahamu Dar tu tena mwisho Ilala mjini kati!!

akili yake haijai kijiko yaani anataka kuamrisha upinzani wote waungane wampe bendera apeperushe ili angalau apate kura nyingi kidogo ndio maana ameshaalikwa na ZZK na Maalim ila hataki kuwakilisha chama kimoja!!

Maembe is finished! hana majabu tena!! nawasihi watu walio karibu yake kumwambia ukweli kuwa yeye ni debe tupu tu sasa na halivumi!!!wamwambie hana mvuto wala nguvu anayojipachika!! wamwambie hajulikani vijijini na mikoani, wamwambie yeye ni underground, underdog na nafasi inayomfaa ni ubunge si uraisi!!na tena ubunge aupiganie haswa manake yuko nje ya system now!!watanzania tujifunze kuambiana ukweli ni wakati sahihi sasa!!
 
Back
Top Bottom