Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

Hahahahaha wapinzani mjiandae tena, mmeletewa tena mtu, hahahaha, akishashindwa uchaguzi 2020, taaratibu atarejea CCM huku akiwa mpole na kuomba msamaha hahahaha, wapinzani wa Tanzania itawachukua muda sana kuuelewa huu mchezo!
 
Muacheni Membe buana apeperushe bendera yenu wapinzani ili mshindwe vizuri, then Membe ataendelea kuwa wa kwetu
 
Rudi nyuma shetani


Wala siyo shetani wala nini!

Nakwambia mkimkataa Membe hali yenu ya matokeo ya Uchaguzi mtajuuta hamtoamini si tupo hapo Mwenyezi Mungu anazidi kutupatia uzima?!

Hivi mnazani peke yenu ni rahisi kiivyo?!

Inahitaji akili kubwa kuelewa hili jambo kwa mapana yake!
 


Kumbe mnamchukulia Lowasa kama Tapeli ?!

Inamaana hamtambui mchango mkubwa alofanya wa kuja na hamasa ya wanachama wapya pamoja na kuwa boost kuweza kupata wabunge wengi na madiwani?

Mnazani bila Lowasa mngeweza kufika pale?

Ama kweli shukrani za Punda mateke!
 
Membe usitake kuvuna usipopanda


2020 iache haikuhusu kisha tengeneza 2025 uingie ikulu si kuchallange

Binafsi nashauri urais tumwachie magu kisha ubunge tukapigane tupate wabunge wenye sense of duty. Honour and. Justice
 
Hahahahaha wapinzani mjiandae tena, mmeletewa tena mtu, hahahaha, akishashindwa uchaguzi 2020, taaratibu atarejea CCM huku akiwa mpole na kuomba msamaha hahahaha, wapinzani wa Tanzania itawachukua muda sana kuuelewa huu mchezo!


Kama atasaidia kuongeza idadi ya wanachama, wabunge na madiwani hata akirudi CCM wala haitadhuru kama ilivyokuwa kwa Lowasa.
 
EL alikiletea Chama chetu wabunge na madiwani feki ambao baadaye walirudi hukooo lumumba so EL HASTAHILI SHUKRANI KTK MAGEUZI bali anapaswa kuhukumiwa na wananchi wenyewe aliowaaminisha na wakamwamini kwa kumpa kura kama mwana mageuzi halisi kumbe ni pandikizi la CCM yeye na madiwani na wabunge wote waliorudi lumumba

Kwa kifupi EL alitudharirisha ss wapiga kura, atapokea malipo yake kwa mnyazi Mungu inshallah
 
Mkuu naona umekimbilia kuni attack bila sababu, kwa tulioiona thread dakika chache baada ya kupostiwa aliandika ile haya moja tu. Kaongezea maelezo baadae, anyway huyo Membe Kuna watu wa mataifa ya mbali waliwekeza kwake pesa nyingi sana akiwaaminisha atapindisha meza. Sasa CCM wamemwekea ngumu kibabe, Sasa kaa mkao ukisikia anakuja CDM style ya Lowassa usishangae, hakuna kinachoshindikana kwenye shilingi. Zamu hii ndo mtaelewa kuwa hakuna upinzani wa maana Tanzania.
 
Mimi nawashauri ACT Wazalendo wamchukue mheshimiwa Membe aili agombee urais kupitia chama chao. Mimi naamini Membe ana watu wengi kumwezesha kupata kura za kutosha na wabunge wengine wanaweza kushinda baadhi ya majimbo kwa kupitia Membe (namaanisha watu wanaweza kumpenda Membe mpaka wakampa zawadi ya wabunge kama ilivyokuwa kwa Lowassa na Chadema). Ikiwa itatokea hivi wanaweza kubahatisha na wabunge wa viti maalumu. Japo kushinda Urais sidhani kama inawezekana.
 
nimem disqualify kabisa aliposema eti corruption imekuwa curbed under this regime.
he's a joke!
 
Muacheni Membe buana apeperushe bendera yenu wapinzani ili mshindwe vizuri, then Membe ataendelea kuwa wa kwetu

Labda kama kuna wanaomtaka, ila ukweli ni kuwa Membe ni zao la siasa za mbeleko, na hana uwezo wowote wa kufanya siasa za upinzani. Mimi siamini kwenye hao wazee wa ccm, kama ambavyo sikuwahi kuwa na imani na Lowassa.

ACT hawana namna, maana chama chako kiliundwa na kundi la JK,Membe, Mwigulu, Nape, January nk, ili kuwa backup ya ccm katika kupambana na cdm. Hivyo piga ua, lazima Membe aende ACT maana ana mkono wake huko. Lakini haitatokea kwangu kusupport hayo mazee yaliyochoka ya ccm.
 
Mkuu hitaki democrasia itawale?

Membe ataenda ACT na lengo la zito si kushinda urais bali awape nguvu ya kushinda viti viwili vitatu vya ubunge kwa ajili ya ruzuku ya kuwawezesha Seif na Zitto wasife njaa
 
Safari hii hampati kitu tunaye mgombea wetu TAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…