Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Huyo Ndio JASUSI MBOBEZI ninayemfahamu mimi , HAKUNA KUOMBA RADHI KWANI RADHI HIYO KWIOOOOOOO!!! 😀 😀 😀 😀 😀
Kwahiyo Membe asipoomba radhi nini kina athirika pale ccm?
 
Yule aliomba msamaha for a reason; wanasema ana makontena yake hajayalipia ushuru, sasa kama unajiamini wewe ni msafi msamaha wa nini?

He has been blackmailed kwa kuoneshwa faili la makosa yake ya kifisadi aliyofanya akiwa katibu mkuu ; sasa ili kupisha shari ameshauriwa amwangukie Jiwe ama sivyo angehusishwa na moneylaundering!! Ameona isiwe taabu wacha mwanaharamu apite!!!!
 
Hata jela ataenda
 
Utajua wewe, ebu kawahi chakula kwa shemeji yako maana kula kulala hana dhamana
Na kaa mkao wa kula, mbowe anabadili tena gia angani na kuwaletea JASUSI MBOBEZI ndani ya chama...
 
Kwahiyo Membe asipoomba radhi nini kina athirika pale ccm?
Hakuna Mkuu ila Tunaomba Demokrasi itamalaki kwenu kwamba iruhusu wanachama wengine wachukue form za kugombea urais hakuna mambo ya desturi ya chama kwamba lazima mtu agonge 10.
 
He has been blackmailed kwa kuoneshwa faili la makosa yake ya kifisadi aliyofanya akiwa katibu mkuu ; sasa ili kupisha shari ameshauriwa amwangukie Jiwe ama sivyo angehusishwa na moneylaundering!! Ameona isiwe taabu wacha mwanaharamu apite!!!!
Mjinga mpe ukubwa upone, huu ni msemo wa kiswahili.
 
Nikikutana na Mwakinyo akaniambia anataka kupigana na Antony Joshua nitamwambia "shauri yako"
 
Ni Sarungi na siyo Salungi. Halafu ajila waachie watoto wadogo waseme, wakubwa wanasema ajira.
 
Unafikiri ile ccm ni ya wajinga kama kina Seif wa Cuf Lipumba alipo andika barua ya kujiuzulu wakakaa kimya?

Ccm inaendeshwa kisomi
Toka lini ccm ikaendeshwa kisomi?? Awamu hii ccm inaendeshwa kikanda na kidikteta ...ili upate uteuzi lazima uwe unatoka kanda ya ziwa..ccm ya leo bure kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…