mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Alitishia eti "niguse ninuke" Alivyoguswa badala ya kunuka akanukia!! Hana chochote Huyo!Membe kakinukisha kama alivyoisha tishia.
Yaani from nowhere anafanya kujiongezea marks baada ya wenye nyumba kutekeleza maskani yao.
Je kesho mkimkuta ametinga sitting room?
Depromashenyua ndo nene eti😀Akihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno.
Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa.
Akoingelea suala la korona, Membe amedai kuwa Tanzania haiheshimu na imejitenga na miiko ya shirika la afya WHO.
Chanzo: DW
Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania
Bernard Membe ameongea kwa unyenyekevu tu. Siyo kwamba Diplomasia imeshuka bali Diplomasia imekufa. Tuna pimbi tu pale Ikulu ndiyo tumemkabidhi nchiAkihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno.
Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa.
Akoingelea suala la korona, Membe amedai kuwa Tanzania haiheshimu na imejitenga na miiko ya shirika la afya WHO.
Chanzo: DW
Membe hayuko karibu na ccm kwa sasa!! Zilikuwa enzi zile na mbeleko pembeni! Wewe mwenye akili timamu zinakutuma uamini kuwa mtu ambaye si mwanachama wa ccm ndiye aliye karibu na ccm!! Hizo ndio akili timamu!! Halafu hasira za nini ?Hivi unajiona una akili timamu?
Wewe na Membe nani yupo karibu na ccm yote na nani anaifaham TZ?
Unajua maana ya Diplomasia?
Nikisema una mavi badala ya ubongo kichwani nitakuwa nimekosea nini!!?
Kiswahili sahihi imekufa.Akihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno.
Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa.
Akoingelea suala la korona, Membe amedai kuwa Tanzania haiheshimu na imejitenga na miiko ya shirika la afya WHO.
Chanzo: DW
Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania
Mtu akikosa hoja utamjua tu!! Siwezi kukulaumu kwa matusi maana ndivyo ulivyolelewa!! Pole!! Matusi hufanya kazi mbili tu: 1. Hufunua moyo wa mtu jinsi ulivyo mchafu. 2. Hufunua namna mtu alivyolelewa toka utotoni!! Pole! maana unaaonyesha kuwa wewe ni mhanga wa malezi mabovu!! Nitakuwa punguwani nikikulaumu!!!Nikisema una mavi badala ya ubongo kichwani nitakuwa nimekosea nini!!?
Acha upumbav.u wewe, asilimia 70 ya wapi? Umewahi kuyaona malori ya Zambia yanayotoka South Africa?..Hivi unajua Dar Lusaka ni mbali kuliko Dar Johburg kwa ubora wa barabara n.k? Uwe una-google mambo mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote mmesikia mkuu wa nchi alivyosema: ikitokea kifo ndugu wazike mtu wao huku wakizingatia maelekezo ya serikali kuhusu namna ya kuepusha maambukizi katika mazingira ya mazishi. Hakuna mazishi ya siri!!! Halafu kifo hakiwezi kutokea halafu ikawa siri!! Hakuna vifo vingi maana tungeviona kwenye jamii.Zaidi ya hapo ni uzushi!!Vile vya usiku vilikuwa vya nn?
Wote mmesikia mkuu wa nchi alivyosema: ikitokea kifo ndugu wazike mtu wao huku wakizingatia maelekezo ya serikali kuhusu namna ya kuepusha maambukizi katika mazingira ya mazishi. Hakuna mazishi ya siri!!! Halafu kifo hakiwezi kutokea halafu ikawa siri!! Hakuna vifo vingi maana tungeviona kwenye jamii.Zaidi ya hapo ni uzushi!!
Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania
Nchi ya Viawanda inakosa hat akilo moja ya sukari hahahahaa tunadili na Wapinzani. Sasa tunatengwa na na majirani zetu. Hakuna mjadala serious kuhusu mambo yanayotokea nchini kila mtu anatetea uhai wake, njaa yake, familia yake. Nani atasimama ahesabiwe kwa kalamu ya moto na damu tuikoe Tanzania? Karibuni kwa kejeli na matusi
Waende kwenye hizo bandari na bei za bidhaa zipande pia ili wapate adabuHapa ndipo mnapojidanganya!
Hakuna Bandari zingine kwani Africa?
Praise teamNimesikilza