Bernard Membe: Tanzania diplomasia imeshuka awamu hii. Tutatengwa na majirani wakiona hatufuati vigezo vya WHO kupambana na COVID19

Akihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno.

Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa.

Akoingelea suala la korona, Membe amedai kuwa Tanzania haiheshimu na imejitenga na miiko ya shirika la afya WHO.

Chanzo: DW
Depromashenyua ndo nene eti😀
IMG_20200511_162755.jpg
 
Kwako wewe mizigo ya Zambia kutoka Tanzania ndio suala kubwa sana!! Hivi Msumbiji hakuna bahari, South Africa hakuna bahari? Acha mawazo mfu hayo.
Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno.

Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa.

Akoingelea suala la korona, Membe amedai kuwa Tanzania haiheshimu na imejitenga na miiko ya shirika la afya WHO.

Chanzo: DW
Bernard Membe ameongea kwa unyenyekevu tu. Siyo kwamba Diplomasia imeshuka bali Diplomasia imekufa. Tuna pimbi tu pale Ikulu ndiyo tumemkabidhi nchi
 
Baada ya Membe kutengwa na CCM amepatwa na mshituko mkubwa sana.. Mfadhaiko wa kutengwa umemsababishia ahofie kutengwa kwenye kila jambo, hata liwe baya.
 
Hivi unajiona una akili timamu?
Wewe na Membe nani yupo karibu na ccm yote na nani anaifaham TZ?

Unajua maana ya Diplomasia?
Nikisema una mavi badala ya ubongo kichwani nitakuwa nimekosea nini!!?
Membe hayuko karibu na ccm kwa sasa!! Zilikuwa enzi zile na mbeleko pembeni! Wewe mwenye akili timamu zinakutuma uamini kuwa mtu ambaye si mwanachama wa ccm ndiye aliye karibu na ccm!! Hizo ndio akili timamu!! Halafu hasira za nini ?
 
Sio tu imeshuka ni kwamba imeondoka kabisa tumekuwa isolated tayari labda tutaendelea kushurikiana kwa karibu na jamhuri ya watu wa chato
 
Akihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno.

Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa.

Akoingelea suala la korona, Membe amedai kuwa Tanzania haiheshimu na imejitenga na miiko ya shirika la afya WHO.

Chanzo: DW
Kiswahili sahihi imekufa.
 
Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania

Msumbiji wamefanya upanuzi mkubwa wa bandari yao. kuna kampuni ya uholanzi imefanya hiyo kazi. Last week Maersk kashusha chombo kikubwa sana hapo port kwao. Na wanajitahidi kuimarisha ulinzi na usalama eneo lao kutengeneza njia salama kwa Zambia kutumia bandari yao. Ni kitu wameshashinda hadi sasa.

Hapa kwetu kuna siasa na uchaguzi, kuna mtu anahujumiwa live live. Kuna namna mtu anatafutiwa ili jamii isimkubali. Halafu najiuliza wale watanzania waliohamishia mitaji na biashara zao Zambia kuwakwepa kina Zakayo wa hapa, kwa sasa hali yao ikoje? Biashara zao wataziendeleza vipi kwa kufungwa mpaka?

Nyumbani ni nyumbani tuu,
 
Nikisema una mavi badala ya ubongo kichwani nitakuwa nimekosea nini!!?
Mtu akikosa hoja utamjua tu!! Siwezi kukulaumu kwa matusi maana ndivyo ulivyolelewa!! Pole!! Matusi hufanya kazi mbili tu: 1. Hufunua moyo wa mtu jinsi ulivyo mchafu. 2. Hufunua namna mtu alivyolelewa toka utotoni!! Pole! maana unaaonyesha kuwa wewe ni mhanga wa malezi mabovu!! Nitakuwa punguwani nikikulaumu!!!
 
Hapa naamini ulikuwa unazungumzia tofauti ya Umbali kati ya DSM - LSK na ule wa LSK - JBURG
Acha upumbav.u wewe, asilimia 70 ya wapi? Umewahi kuyaona malori ya Zambia yanayotoka South Africa?..Hivi unajua Dar Lusaka ni mbali kuliko Dar Johburg kwa ubora wa barabara n.k? Uwe una-google mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vile vya usiku vilikuwa vya nn?
Wote mmesikia mkuu wa nchi alivyosema: ikitokea kifo ndugu wazike mtu wao huku wakizingatia maelekezo ya serikali kuhusu namna ya kuepusha maambukizi katika mazingira ya mazishi. Hakuna mazishi ya siri!!! Halafu kifo hakiwezi kutokea halafu ikawa siri!! Hakuna vifo vingi maana tungeviona kwenye jamii.Zaidi ya hapo ni uzushi!!
 
Tanzania hatuna Corona, kama ipo basi labda watu 3 au 5 tu na sio zaid na wala hakuna vifo
 
Nilivyokuwa nasikiliza wavyojadili ni kwamba Tanzania ndo itaathirika zaidi kiuchumi,ningependa kujua hasa kwanini sisi ndo tunanufaika zaidi kwa mpaka wa zambia ?zambia na Tanzania nani ananufaika zaidi ?
Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania
 
Nchi ya Viawanda inakosa hat akilo moja ya sukari hahahahaa tunadili na Wapinzani. Sasa tunatengwa na na majirani zetu. Hakuna mjadala serious kuhusu mambo yanayotokea nchini kila mtu anatetea uhai wake, njaa yake, familia yake. Nani atasimama ahesabiwe kwa kalamu ya moto na damu tuikoe Tanzania? Karibuni kwa kejeli na matusi

Mnatengwa kwa lipi? Mtu kufunga mpaka wake unasema katutenga kwani yeye pia si atakuwa amejitenga? Hakuna mtu atajitenga kwenye zama hizi ni uzwazwa tu wa watu wanaofikilia hivyo, ugonjwa utaisha na maisha yataendelea, kwani ugonjwa uliletwa na Tanzania?
 
Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania
Praise team
 
Acha upumbav.u wewe, asilimia 70 ya wapi? Umewahi kuyaona malori ya Zambia yanayotoka South Africa?..Hivi unajua Dar Lusaka ni mbali kuliko Dar Johburg kwa ubora wa barabara n.k? Uwe una-google mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Zitaje hizo klm tofauti ya dar na s africa sio kuonge bila data.
 
Back
Top Bottom