mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Alitishia eti "niguse ninuke" Alivyoguswa badala ya kunuka akanukia!! Hana chochote Huyo!Membe kakinukisha kama alivyoisha tishia.
Yaani from nowhere anafanya kujiongezea marks baada ya wenye nyumba kutekeleza maskani yao.
Je kesho mkimkuta ametinga sitting room?