Uchaguzi 2020 Bernard Membe tulimjua tangu awali. Hatusumbui, Mabadiliko ni lazima mwaka huu!

Hivi Membe alitumwa na nani agombee urais kupitia ACT?

Yaani Maalim Seif na Zitto Kabwe walijikuta tu wanamsimamisha Membe urais bila kujua alikujaje kwenye chama chao!

Yaani "ugwiji" wao wote kwenye siasa ACT hawakuwahi kufaham "asili" ya Membe?
Ndio maana tumesema tamaa za zitto, walitakiwa wajifunze yaliyotokea 2015 kwa edo, sema sikio la kufa
 
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kumbuka Zitto hajawahi kuwa CCM na alishawahi kuwa CHADEMA kwa muda mrefu.Labda tuambie ni viashiria gani vinavyosababisha wewe usimuamini Zitto??

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe tindo bado tu unajifunza mambo ya siasa za TZ? Bado tu hujakomaa? Yaani bado unaamini Maalim Seif ni mpinzani wa kweli na kwamba "atawavusha" wapemba? Unaamini vipi Maalim ni mpinzani wa kweli wakati anafanyia harakati zake kupitia ACT chama ambacho una yakini kuwa ni cha makada wa CCM? Yaani wewe una akili zaidi bali Maalim Seif hajitambui kwa kitendo chake kuwa mwenyekiti na mgombea urais wa ACT ya CCM?
 
Wamefeli vibaya sana...Chama Cha Matatizo ni halali yetu; tarehe 28/10/2020 lazima ing'oke.

 
Kwa haya mnayayoyasema kuhusu Bernard Membe wala siyashangai na wala simuonei huruma. Tulimuonya mapema ajihadhari na siga alizokuwa anapewa mtandaoni kipindi kile anajaribu kuivuruga CCM. Alivimbishwa kichwa akavimba. Akaaminishwa yeye ndiye, akaamini. Alivyotupwa nje na CCM na akaonekana si lolote sasa yale tuliyomtahadharisha nayo yanaibuka.

Bernard Camilius Membe maisha yakikushinda huko, tubu urudi CCM. CCM haina hasira za kudumu. Lowassa, Sumaye, Sofia Simba na Mama Msambatavangu walirudi CCM tena Msambatavangu leo ni Mgombea wa CCM Iringa Mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…