Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

Pasko badala ya kumuombea msamaha huyo kichaa chukueni hili kama somo. Jifunzeni acheni kuruka baadhi ya step kufunika kombe.

Ingalikuwa heri mkajifunza na nyinyi wenyewe mkaanza kujiombea masamaha kwa uchawa wenu
Well said madhila na maovu yote aliyofanya Magufuli kwa raia na wale anaopingana nao mtazamo akina Pascal hawajawahi kuonyesha msamaha unahitajika. Bado nawaona ni wanafiki tu
 
Musiba analipia kipimo alichowapimia wenzake.
Naona Maxence Melo analeta ugaigai kwa kusita kumchukulia hatua Musiba.

Kuhusu Pascal Mayalla ninayemfahamu mimi ni nguli wa habari tena za kiuchubguzi. Haandiki unachotaka kusikia bali anaandika facts na issues zenye mashiko. Hayo mengine naona kama mnamtengenezea zengwe kwa sababu kamtetea Musiba
 
Wewe ni chawa wa Magufuli au sukumagang passe, hamkumwambia Magufuli kuwa ana visasi rejea suala la Manji.

Taifa lilipita kwenye madhila makubwa sababu ya Magufuli na wapumbavu kama Musiba. Wanafiki mlikaa kimya leo unathubutu kumshambulia mhanga wa matendo maovu ya Magufuli na wapumbavu wake

Membe hajatafuta huruma ya mtu una hulka za kichawi maana kumshambulia personally kuwa hakuwekeza kwao. Hiyo ni argument dhaifu mbona Benjamin Mkapa hakuwekeza kwao? Je ilimfanya kuwa kiongozi dhaifu?

Acha hulka za kichawi
 
Sio P yule unayemfahamu kabla ya Magu
 
Kwa hiyo unajaribu kumtisha Membe asifuatilie haki yake eti amewapuuza maaskofu! ? Sijui una akili ya namna gani kiumbe wewe! Achana na Membe. Kama unamuonea huruma mtu wako si umsaidie kulipa deni lake?
 
Mkuu Kwa hili sio shetani ni la kwake, harafu mbona wakati anafanya Yale maovu hao maoskofu hatukuwasikia kukemea huo ni unafiki
 
Abinywe tu
 
Hakuna watu wapuuzi kama maaskofu wanajirimbikizia mali wakati waumini wao wakifa kwa umaskini wanawapora pesa zao kwa kisingizio cha sadaka ,mbwa hawa
 
Ni
Sio kila kosa ni la kusamehe
Sio kila mtu ni wa kusamehe
Sio kila wakati ni kusamehe
Sio kila mahali ni kusamehe
Sometimes Umiza au Lipiza
Ni kweli hata vitabu vitakatufu vinathibitisha hayo kwa maandiko mengi ikiwemo usiache Mchawi akaishi.

Kwa nini Musiba yeye mwenyewe asijitokeze hadharani kuomba huo msamaha kama alivyokuwa anavunjia watu heshima zao?

Waswahili tunasema mwiba ulipoingilia hutokea hapohapo.

Huyo angetaka kuomba msamaha wa dhati angejitokeza mwenyewe hadharani, hapa hata akisamehewa atarudi kwenye media kuropoka kuwa alionewa Ndiyo maana yeye hakuomba msamaha.

Maaskofu nao waache kutuona sisi Wananchi kana kwamba ni wajinga, kipindi Musiba anaropoka wao walikuwa kimya hawakumkemea lakini pia ikumbukwe kuwa Mh Membe alitoa nafasi kwa Musiba ya kuyamaliza mapema kabla ya kwenda mahakamni bado Musiba alionyesha kibri na hadi leo anadhihirisha kibri hicho kwamba hataki kuomba msamaha.

Mh Membe kaza hapo hapo na hili halitakuwa fundisho kwa Musiba tu bali hata hao maaskofu nao watakuwa wamejifunza kitu.
 
Umeandika nini sasa!!!!
 
Tunajua Sukuma Gang mnajaribu kumnusuru Musiba, to late men.... as we speak hakuna wa kutushauri , We only move on, Musiba lazima alipe gharama za matusi ya mdomo wake, si alisema Membe ni Joka la Kibisa, ngoja tuone vile unaweza cheza na joka la Kibisa, Shubaramit.....
 
Kumuombea msamaha kichaa huyu,
Kichaa mwenyewe amekubari kua kile kilikua ni kichaa tu na sio yeye ? hivyo Sasa yeye amerudi kichaa kimeenda maana umeshasema ameombewa alikua na kichas, Sasa ukisema tena kichaa kichaa kichaaka maana yake ndio yule yule kichaa hakijamtoka akisamehewa atadharau na kutukana Tena, tuache unafki na kujitweza hao maaskofu wakati Membe anatukanwa na huyo unaesema kichaa wao walikua wapi na walifanya nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…