Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

Magufuli alimfanyia figisu Membe,hatma yake kafa ,kawaacha watu wanakula bata Kama kawaida,

Mzee alikuwa na chuki sana
Hiyo bata wanayokula kumbuka hata za kwako ndoo wanakula maana wanajidai kutumia kodi zetu
 
Siasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
Ukishajiunga na Chama kingine umeshajitoa kwenye Chama chako ya awali.
 
Ccm ina mfumo wake ambao si wa kikanda bali wa kimaslahi kwa ccm na watu wake.
 
Nimesema Taarifa ya Benard Membe kuwa hajawahi kutoka CCM .Hii ina maana Wakati anagombea ACT alikuwa bado yupo CCM hivyo amegombea Urais akiwa Mwanachama wa Vyama viwili vya Siasa.Je TUME ya UCHAGUZI ili aruhusu vipi Tukio kama hilo?
 
Yaani ilifikia kipindi hotuba za kipindi kile unaweka PG kulinda nidhamu ya watoto.
Ushamba ni mzigo mkubwa sana yaani!
 
Mjinga mkubwa!

Hao kina Membe ndio tuliaminishwa na kina Lisu kwamba wamefisadi hii nchi, leo mataahira kama nyie mnawaona wa maana?

Unafikiri ataeumia ni Magufuli na familia yake?

Ni bibi, babu na mama zako kule kijijini wanaoliwa na umasikini
Kwa hiyo akisema Tundu Lissu wewe unayaamini tu bila kuchambua? Acha kuwa mtumwa wa wanasiasa, tumia ubongo wako
 
Magufuli alimfanyia figisu Membe,hatma yake kafa ,kawaacha watu wanakula bata Kama kawaida,

Mzee alikuwa na chuki sana
Kufa ni suala la mda tu! Hata wewe na mimi tutakufa usilete ngonjera hapa! Kikubwa Magufuli alikuwa Rais na Membe hatakuwa Rais mpaka kufa kwake!
 
CCM hata akigombea Kingwendu anaweza akawa Rais.
Hizi kauli ndizo zinaifanya CCM iwe madarakani muda wote. Yaani mtu anakaa badala ya kuweka mikakati imara ya kuwaondoa anatoa kauli hizi wakati moyoni ukweli anaujua. BASI tusubiri wanaetu labda akili itwawaingia wachuke hatua za kwenda kupiga kura, kulinda kura na kusimama imara kuwaeleza watawala kuwa hizi ni haki zetu siyo fadhila.
 
Nasikia slow slow ana darasa, sitakuja nimsikilize, huwa anajitoa hufahamu sana anakata mauno bajeti kupita, amewahi sikia kuna mwaka haikupitishwa? Pumbavu!
 
Hata ukilinda kura Mahera na Jaji Mitungi wanamtangaza wanaempenda wao.
 
Mwambie akahare mbele huko, ameshakua expired atupishe
 
Naona kavaa mashati ya ofisini
 
What? Untouchable? Magufuli na kundi lake wako wapi? Hujui hata Kikwete na kundi lake nalo walishadidimizwa ila wameibuka kizalizali? Pia hujui mambo yanaweza kubadilika tena wakajikuta wako sehemu mbaya kuliko hata mwanzo?
Endelea kuota... nadhani hujui hata Magu amekufa...na hujui kuwa ametangulizwa kwa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…