Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwanasiasa yeyote Tz, awe chama tawala au upinzani anayekupambania wewe,elewa ivyo tu........Nyie si mmekaa pembeni na kuwaachia wapinzani hawahangaike wenyewe eti kwa sababu wana njaa?
Hiyo bata wanayokula kumbuka hata za kwako ndoo wanakula maana wanajidai kutumia kodi zetuMagufuli alimfanyia figisu Membe,hatma yake kafa ,kawaacha watu wanakula bata Kama kawaida,
Mzee alikuwa na chuki sana
Ukishajiunga na Chama kingine umeshajitoa kwenye Chama chako ya awali.Siasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
Ccm ina mfumo wake ambao si wa kikanda bali wa kimaslahi kwa ccm na watu wake.Unaumiaje? Keshokutwa atatema nyongo na ndipo mtakapotambua kuwa kusini Wana jambo lao 2025! Majaliwa ni game changer baada ya mama kujipigia promo Kwa kina mama wenzake kumbe midume inamchora TU Kiana! Tambua hilo mataga one kuwa hakuna kaskazini Wala Kanda pendwa!
Na watu watamwita mhe. munguCCM hata akigombea Kingwendu anaweza akawa Rais.
Kuzaliwa kwenye umasikini uliotopea kunafanya wabongo wajipendekeze.Bashiru na Polepole huu uzi utakuwa mchungu sana kwao. Magufuli kwao alikuwa ni zaidi ya mungu.
Yaani ilifikia kipindi hotuba za kipindi kile unaweka PG kulinda nidhamu ya watoto.Mshamba yule walidhani watabadili katiba jamaa yao aongoze milele watoto wa mjini wakatulia kimya kama hawapo kumbe wapo na sasa wamerudi viongozi wastaarabu hakuna tena matusi kwenye hotuba za viongozi wala hatufokewi hovyo kama watoto wadogo, mambo yako tulivu kabisa
Kufika siyo tatizo. Itategemea umefikaje fikajeHuko kila mtu atafika kwa wakati wake....
kirefu chake, elimu haina mwisho
Kwa hiyo akisema Tundu Lissu wewe unayaamini tu bila kuchambua? Acha kuwa mtumwa wa wanasiasa, tumia ubongo wakoMjinga mkubwa!
Hao kina Membe ndio tuliaminishwa na kina Lisu kwamba wamefisadi hii nchi, leo mataahira kama nyie mnawaona wa maana?
Unafikiri ataeumia ni Magufuli na familia yake?
Ni bibi, babu na mama zako kule kijijini wanaoliwa na umasikini
Bambo,Steve Nyerere, wema akiwa rais alafu makamu wake mange kimavi kwa mujibu wa katiba.CCM hata akigombea Kingwendu anaweza akawa Rais.
Kufa ni suala la mda tu! Hata wewe na mimi tutakufa usilete ngonjera hapa! Kikubwa Magufuli alikuwa Rais na Membe hatakuwa Rais mpaka kufa kwake!Magufuli alimfanyia figisu Membe,hatma yake kafa ,kawaacha watu wanakula bata Kama kawaida,
Mzee alikuwa na chuki sana
Hizi kauli ndizo zinaifanya CCM iwe madarakani muda wote. Yaani mtu anakaa badala ya kuweka mikakati imara ya kuwaondoa anatoa kauli hizi wakati moyoni ukweli anaujua. BASI tusubiri wanaetu labda akili itwawaingia wachuke hatua za kwenda kupiga kura, kulinda kura na kusimama imara kuwaeleza watawala kuwa hizi ni haki zetu siyo fadhila.CCM hata akigombea Kingwendu anaweza akawa Rais.
Hata ukilinda kura Mahera na Jaji Mitungi wanamtangaza wanaempenda wao.Hizi kauli ndizo zinaifanya CCM iwe madarakani muda wote. Yaani mtu anakaa badala ya kuweka mikakati imara ya kuwaondoa anatoa kauli hizi wakati moyoni ukweli anaujua. BASI tusubiri wanaetu labda akili itwawaingia wachuke hatua za kwenda kupiga kura, kulinda kura na kusimama imara kuwaeleza watawala kuwa hizi ni haki zetu siyo fadhila.
Mwambie akahare mbele huko, ameshakua expired atupisheSalaam Wakuu,
Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".
Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964639
Hon. Bernard K. Membe
Naona kavaa mashati ya ofisiniSalaam Wakuu,
Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".
Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964639
Hon. Bernard K. Membe
Endelea kuota... nadhani hujui hata Magu amekufa...na hujui kuwa ametangulizwa kwa lazimaWhat? Untouchable? Magufuli na kundi lake wako wapi? Hujui hata Kikwete na kundi lake nalo walishadidimizwa ila wameibuka kizalizali? Pia hujui mambo yanaweza kubadilika tena wakajikuta wako sehemu mbaya kuliko hata mwanzo?