macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hili la kudhani serikali hguwa ina tabia ya kuficha mambo kwa kuhamisha mijadala huwa sikubaliani nayo kabisa. Waogope nini kwa wananchi ambao asilimia 90 ni kama misukule au ndondocha? Hivi hata serikali ikiamua kunyonga raia 100 kila mkoa bila kosa lolote, wananchi walivyo waoga wana uwezo wa kufanya nini?Kuna issue itakuwa inafichwa ...ili tuamishie macho na masikio huku! Akina Gwajima wawili bado wapo unadhani kwa nini kimya muda huu. Ha ha haaa! Habari za hapa ni burudani tosha ha haaaa!
Kama ww si mtu wa kubishana kwa nia ya kubishana tu, utakubaliana na mm kuwa Kufuta system imara na watu wake walioiweka si jambo jepesi. Ni almost impossible war to win.What? Untouchable? Magufuli na kundi lake wako wapi? Hujui hata Kikwete na kundi lake nalo walishadidimizwa ila wameibuka kizalizali? Pia hujui mambo yanaweza kubadilika tena wakajikuta wako sehemu mbaya kuliko hata mwanzo?
🤣🤣🤣CCM hata akigombea Kingwendu anaweza akawa Rais.
Huna haja ya kua na adui bro.Hii nchi unatakiwa ujue nani wa kupatana naye nani wa kuwa naye adui wapi uguse wapi upaache tu kama ulivyopakuta n.k
Kuna uwezekano mkubwa ukawa sahihi ama usiwe sahihi pia. Nidhania tu, Mkuu....wananchi walivyo waoga wana uwezo wa kufanya nini?
Uadui unakuja kwenye kunyang'anyana fursa. Hakuna binadamu ambaye key objective sio fursa. Resorces are limited.Huna haja ya kua na adui bro.
Japokua CCM wanaona kila mchadema Ni adui.
Haya ni maoni yako. Na umetumia ''akili za kitanzania'' kufikia hitimisho. Historia inaonyesha kulöikuwa na system zenye nguvu na zilifutika na walioziweka kama bonge la barafu linavyoyeyuka.Kama ww si mtu wa kubishana kwa nia ya kubishana tu, utakubaliana na mm kuwa Kufuta system imara na watu wake walioiweka si jambo jepesi. Ni almost impossible war to win.
Hakuna unafiki katika siasa.....Ndiyo utakapokujua kuwa CCM bila unafiki haiendi. Magufuli angekuwa hai Majaliwa angekuwa na ubavu wa kumsimamisha Membe kwenye mkutano wake azungumze?
Umeelewa ulichoandika kweli?Huyu Membe pamoja na kusifiwa au kusifika kuwa ni jasusi mbobezi, lkn alishindwa mission na mzee Lowasa ya kuusambaratisha upinzani nchini kupitia akili kubwa na tamaa ya viongozi wa upinzani. Katika watu waliopewa mission ya kuusambaratisha upinzani toka nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi, basi Lowasa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno tena katika muda muafaka ambao kuna watu walijidanganya kuwa mwenyekiti wa chama tawala wakati huo na mbobezi wa siasa za vizazi vyote mh JK chama kingemfia mkononi. Sasa matokeo yake wao ndio vyama vyao vimewasambaratikia mikononi yan hakuna cha ukawa wala uchawa. Big up mwenyekiti mstaafu mzee JK&Lowasa na pole kwa viongozi wa upinzani. Tamaa ilimponza mbuzi kwa kuwekewa chumvi akijua unga.
View attachment 1964118
View attachment 1964122
SiasaSalaam Wakuu,
Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".
Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kwa sababu ya mfumo imara wa chama. Chama kinao uwezo wa kumuandaa mwanachama yeyote kuwa rais wa nchi. Kwa hiyo, usibeze chama hicho.
Ha ha haaa! Ila ninyi wakuu, wakuvulia kofia. Nikikumbuka kauli yako ya 'Twende na Mbobezi -2021', naishiwa 'sura'. h aha haaa!.....kujitoa CCM
Mh.. wewe unadhani mimi ni mjinga kiasi cha kuamini kuwa Chadema ni wakamilifu kama malaika? Hell NO! Nikupe somo: Wanasiasa au niseme binadamu yoyote anakuwa at-ease mpaka apte changamoto. Hii ni nature yetu binadamu. Bila kujali nchi inaongozwa na chama gani, kama wananchi wa kawaida hawatakuwa wakali kuwasimamia viongozi wao basi nakuhakikishia kuwa viongozi hawatawajibika. Na hili ndilo tatizo la Tanzania. CCM hii hii kama wananchi wangekuwa wakali kutovumilia uzembe na ufisadi, inaweza kufanya vizuri sana.Hakuna unafiki katika siasa.....
Huo unaouita unafiki inawezekana huuoni sana huko CHADEMA kwa kuwa tu hawana dola......
#SiempreJMT
Acha kuchekesha mkuu!Wote hawa ni watu wa hovyo tu. Hakuna cha Kikwete, Membe wala Musiba. Kinachowatofautisha ni nani yuko kwenye mamlaka na ni nani yuko benchi. Wanachezea watu wasio na akili tu.
Hakika CCM ni balaaNiguse ninuke ndio imepata majibu leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Leo Msigwa na Majaliwa ndio wakumchafua Magufuli?
Siasa ya bongo ni ngumu kuliko kupata PhD ya physics[emoji41][emoji41]