Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Marehemu hatukanwi wala kusemwa vibaya. Hiyo ndio mila ya kiafrika mkuuSiasa za kitanzania ni za kijinga na kipumbavu sana...........Hawa wanasiasa chumia tumbo tumewachoka maana wamejaa ubinafsi na kujali maslahi yao wenyewe
Unadhani uraisi unakupa nguvu? Yaani ukisema leo vita basi ni vita kweli?Hii nchi ukipata Urais wewe ndio untouchable
Hoja yake ni kwamba alifukuzwa kimizengwe...Siasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
Wanajikausha kama mahabidhi....vile umungu mtu wa Magu sasa aibu kubwa kwso.....aibu sana kusujudu mwanaume mwenzio kisa tumboSijui Bashiru na Polepole wanajisikiaje mida hii.!
Mzee wa niguse ninukeSalaam Wakuu,
Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".
Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe
Unajichanganya mtu wa hovyo na bado ana uwezo wa kuwachezea akili? He who laughs at the end is the winner jombaa...Wote hawa ni watu wa hovyo tu. Hakuna cha Kikwete, Membe wala Musiba. Kinachowatofautisha ni nani yuko kwenye mamlaka na ni nani yuko benchi. Wanachezea watu wasio na akili tu.
Acha uwongo jombaa, kama huelewi mambo bora ukae kimya...Kumbe Membe hakugombea urais 2020? Dishi limeyumba.
Membe alifukuzwa na kamati kuu ya ccm ambayo Samia ,Majaliwa, Mangula bado wapo.
Nyie si mmekaa pembeni na kuwaachia wapinzani hawahangaike wenyewe eti kwa sababu wana njaa?Siasa za kitanzania ni za kijinga na kipumbavu sana...........Hawa wanasiasa chumia tumbo tumewachoka maana wamejaa ubinafsi na kujali maslahi yao wenyewe
Yuko sahihi.Siasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
Ndiyo siasa ilivyo, very dynamic and unpredictable... Unaangalia upepo unavyovuma. Hivi kwa akili yako Membe na Majaliwa wanaweza kuwa real enemies?Ndiyo utakapokujua kuwa CCM bila unafiki haiendi. Magufuli angekuwa hai Majaliwa angekuwa na ubavu wa kumsimamisha Membe kwenye mkutano wake azungumze?
CCM itatawala for the next 100 years🤣🤣🤣Komredi B.C.M!
😍👍💪🎵🎵🎼🎤📯💪CCM itatawala for the next 100 years
CCM hakujitoa ila walimfanyia fitina wakamtoa ili asigombee Urais kupitia CCMSiasa ni kazi ya hovyo kuliko upolisi, kama hajawahi kujitoa CCM aligombea urais kupitia ACT Wazalendo huku akiwa mwana CCM?
Huko kila mtu atafika kwa wakati wake....Waliomfukuza wapo chini ya ton 7 ya udongo. Hii ardhi ya mwenyezi Mungu tuikanyage kwa adabu
Kwani tanzania ni yakina nani!!?Bashiru,Polepole mpo wapi?Mwenyekiti kalala Chato. Maisha haya jamani.
Ndiyo siasa ilivyo, very dynamic and unpredictable... Unaangalia upepo unavyovuma. Hivi kwa akili yako Membe na Majaliwa wanaweza kuwa real enemies?
Usisahau naye kuna siku ataondoka! Hapo sjui utasemaje ukiwa hai?Walimfanyia fitina lakini wameondoka wao wamemwacha.
Wewe ungekuwa wa maana usingekuwa unaosha matako ya bibi zako huko ulikoWote hawa ni watu wa hovyo tu. Hakuna cha Kikwete, Membe wala Musiba. Kinachowatofautisha ni nani yuko kwenye mamlaka na ni nani yuko benchi. Wanachezea watu wasio na akili tu.
Sijawahi kujitoa ccmHa ha haaa! Ila ninyi wakuu, wakuvulia kofia. Nikikumbuka kauli yako ya 'Twende na Mbobezi -2021', naishiwa 'sura'. h aha haaa!.