Unaumiaje? Keshokutwa atatema nyongo na ndipo mtakapotambua kuwa kusini Wana jambo lao 2025! Majaliwa ni game changer baada ya mama kujipigia promo Kwa kina mama wenzake kumbe midume inamchora TU Kiana! Tambua hilo mataga one kuwa hakuna kaskazini Wala Kanda pendwa!Kumbe Membe hakugombea urais 2020? Dishi limeyumba.
Membe alifukuzwa na kamati kuu ya ccm ambayo Samia ,Majaliwa, Mangula bado wapo.
Hiyo ndiyo sihasa [emoji1787][emoji1787]Hii nchi unatakiwa ujue nani wa kupatana naye nani wa kuwa naye adui wapi uguse wapi upaache tu kama ulivyopakuta n.k
Watanzania wengi hasa hapa JF wana akili ya kusifia sifia hata visivyostahili, hivi mtu kama huyu ambaye licha ya uzoefu wake kwenye nafasi alizowahi kushika kisiasa na kitaalam ameshindwa hata kuweka mistari 5 kama makala ili kuchangia mazuri aliyo nayo kama yapo kwa kizazi kipya cha uongozi..bado kuna watu wanaona anafaa kuwa kiongozi, kwa kipi hasa alichoshindwa kukitoa kwa watanzania wakati akiwa waziri na sasa anataka kukitoa...???Sijawahi kujitoa ccmView attachment 1964325
Jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Wapambe walisumbua sana. Nao ni muda wa kuwapoteza Kama walivyopotezwa wazalendo wengineMagufuli alimfanyia figisu Membe,hatma yake kafa ,kawaacha watu wanakula bata Kama kawaida,
Mzee alikuwa na chuki sana
Bashiru,Polepole mpo wapi?Mwenyekiti kalala Chato. Maisha haya jamani.
duhSalaam Wakuu,
Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".
Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe
Huyu naye tatizo tu! Kwani hakugombea? Atueleza nini alichokifanya ACT? Ni mtu hana substance, hana character, yupopyupo tu! Bahati mbaya hapa JF kuna watu walidanganyika eti Membe for ........ Rubbish!Salaam Wakuu,
Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea chochote kuhusu hatima yake CCM kwasababu ya Kesi yake na Musiba ambayo Hukumu ni Tarehe 12 Oktoba 2021. Baada ya Hukumu hiyo ataongea na Wanahabari kinagaubaga kuelezea hatima yake ya kisiasa. "Sijawaji kujitoa CCM".
Waziri Mkuu alienda Lindi na kupata nafazi ya Kuzindua barabara Inayoelekea Kijijini kwao Membe ambayo inaishia Rondo Mnarani.
View attachment 1964176
Hon. Bernard K. Membe
Hili ni swali zuri sana kama angeulizwa Magufuli kabla hajafariki. Tangu kipindi akiwa haki nilikuwa nashangaa sana alikuwa anashindwaje kujua watu kama kina Majaliwa, Ndugai etc walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.Ndiyo siasa ilivyo, very dynamic and unpredictable... Unaangalia upepo unavyovuma. Hivi kwa akili yako Membe na Majaliwa wanaweza kuwa real enemies?
Nenda chato kafagilie kaburiAkili za ndezi hizi. Nakufananisha na mbunge mmoja wa Chalinze. Very narrow minded idiot!
Yule kauzu anatakiwa apelekewe moto ikibidi aende alikoenda bosi wakeHuyu kamkalia kooni musiba 😂😂
Ova
Kuwachezea akili kina nani? Sikatii kuwa kuna wajinga wengi tu wanaweza kuchezewa akili naye ila siyo mimi. Nikipinga hawezi kuwachezea akili watu, tena wengi tu basi nitakuwa najifanya sioni watu kama kina Gwajima wanavyochezea akili watu kwa kujifanya ni viongozi wa kiroho.Unajichanganya mtu wa hovyo na bado ana uwezo wa kuwachezea akili? He who laughs at the end is the winner jombaa...
Chato na mimi wapi wapi. Kwa Magufuli aliyeitumbukiza nchi kwenye shimo?Nenda chato kafagilie kaburi
Exactly, chini ya Samia Nchi imetulia kabisa,Hakika Mwendazake ametupitisha kwenye BONDE LA UVULI WA MAUTI. Muache a REST IN HELL yule Ibilisi mkubwa.
Yasemekana bado Mwendazake yuko mlangoni na kiroba chake Shetani hajui amuweke wapi maana dhambi zake zinamtisha hata Shetani mwenyewe
Zitto aliona mbali sana kwa huyu jmaaTuseme ile kadi yake ya ACT ni fake? Au ana kadi mbili
Gentle pressing huku unakula soft myuzik🎶hii kete mpaka leo wale ndugu zetu wamepigwa pazia...Draft inapochezwa hupaswi kutumia nguvu unapaswa kusukumu kete kwa akili pia huku ukiwa na akiba ya next push....
Vipi waliomfukuza Zitto?Waliomfukuza wapo chini ya ton 7 ya udongo. Hii ardhi ya mwenyezi Mungu tuikanyage kwa adabu