Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Membe anakosea na kupitia kwa wakati mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishatangaza msimamo wake.Ni LissuZitto sijui atampigia kura nani. Ha ha ha ha.
Andika kiswahili bhana,huu ni utopolo kiwango cha PhD.aaaaah!!!Wapinzani gani hawa wasiojua mbele wala nyuma? Leo wanasema wanamsapoti Lisu, halafu anaibuka mwingine anasema mimi ndiyo mgombea urais wa ACT. What is the better way to describe this attitude than UTOPOLO at its best?
Shangazi yako mwenye title hiyo unayoiona ni underrated ndiye aliyekusomeshaga wewe mpaka ukawa na hicho unachoringia.Hahaha ajabu sana, mtu anawaita waandishi kuwaambia the obvious, bora niwe mwalimu wa chekechea kuliko kuwa mwandishi kama ndio hivi.
Mkuu umekubali kupigwa chenga na Jasusi mbobezi kirahisi hivyo. Subiri dk ya 89 (tr 27/10/2020) uone goli lake la ushindi tena goli la kisigino.Vyombo vya habari nawapa title za magazeti yenu kesho free of charge chagueni chochote
1.Membe akomaa katiba ya Act wazalendo izingatiwe yeye ndie mgombea wa Uraisi
2.Membe atofautiana na viongozi wa chama chake kuhusu kumuunga mkono Lisu
3.Membe asema yeye ni mgombea uraisi halali wa ACT wazalendo
4.Membe na mgombea mwenza wasema wao wagombea halali wa ACT wazalendo
5.Membe na mgombea wake mwenza wasema wataipa ushindi ACT Wazalendo wawape kura wao sio mgombea mwingine
5.Bundi atua ACT wazalendo Membe na mgombea Mwenza watofautiana na viongozi wa juu kuhusu kumuunga mkono Lisu
Hahaha kama unavijiakili kumbuka ulirithi kwangu, mimi babu yako nilimzaa baba yako kisha nilichepuka upande wa pili nikamzaa mama yako.Shangazi yako mwenye title hiyo unayoiona ni underrated ndiye aliyekusomeshaga wewe mpaka ukawa na hicho unachoringia.
Acha dharau na kebehi bwanamdogo, pambaf!!!
Samahani Babu[emoji38] lakini niliona kama umemdharau mwalimu wa chekechea ndomana yakanitoka yote hayo, kumradhi!Hahaha kama unavijiakili kumbuka ulirithi kwangu, mimi babu yako nilimzaa baba yako kisha nilichepuka upande wa pili nikamzaa mama yako.
Kuwa na adabu kwa wakubwa zako na uache matusi.
"Ipo nadharia kwamba Vyama vikiungana vinaweza kushinda. Lakini katika bala la Africa, nadhalia hii haijawahi kufanikiwa.
Madikiteta wote wameangushwa na vyama binafsi. Afrika chama kimoja ndo huwa kinashinda sio vilivyoungana".
Membe umesema kweli tupu. CCM itashinda kwa kishindo.
Ila chadema ina watu wajinga jamani!Hata Mimi nimeusoma mchezo namna hiyo. Na kweli hilo litakuwa bao bora kabisa la mashindano la dakika ya 89.
Upinzani wa safari hii wamejipanga kisayansi au tuseme wameikuta timu ya CCM inayoongozwa na 3Zs (yaani zumbukuku watatu) imezubaa haijui kinacho endelea.
Kwa taarifa 3Zs ni;
Jiwe
Baa-shiru
Chakubanga.
Hebu sikia timu hiyo inaweza kuzungumza haya yafuatayo.
View attachment 1604995
Akibadili gia usitoe povu. Amekwambia dk ya 89. Huelewi nini bwashee.?Message send kwa Lissu ajue kuwa watakutana na Membe kwenye sanduku la kura.
Ila chadema ina watu wajinga jamani!
Yani Membe atangaze kumuunga mkono Lisu siku ya mwisho alafu ndio itasaidia nini sasa?