BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Mkuu mbona hutumi updates?
 
Watu wanasahau au ni kweli hawajui?

Wanasema Diamond kuingia tu pale ni mafanikio.

Hivi wanajua kama Diamond kashawahi shiriki BET category hii hii? Na wimbo alioupeleka ulikua Kesho?

Nakumbuka alishinda Davido, ambapo baada ya pale akaenda Nigeria akahudhuria harusi ya P Square akiwa na suruali ya mistari ya rangi nyeusi na nyeupe. Watu wakasema hakua na kadi alitumia kadi ya Davido iliyoandikwa Mr & Mrs.

Kama unakumbuka kuna kipindi zilitoka jeans za mistari nyeusi na nyeupe au bluu na nyeupe hizo jeans zilikua influenced na yeye alivyovaa hiyo siku.

So alishahudhuria yeye mwenyewe anaelewa anachohitaji ni ushindi na siyo kuishia kwenye nomination.
 
Ni masaa 23 sasa tangu muanze kututangazia hitimisho la hizo tuzo na bado hatuoni matokeo Nani kashinda Nani kapigwa. Tafadhali tujulisheni nini ni nini twende Kanisani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye card ya Davido kwenye harusi, yeye domokaya alihudhuria km Mrs? Mweeeeeeh
 
2 Times Nominees ni More Markatable kuliko 1 time Nominee imgawa 3 Times Nominee ni bora zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…