King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kutoka jijini LA Marekani tunawaletea matangazo ya moja kwa moja kwenye utoaji wa tuzo za BET 2021, mAstaa kibao wametua jijini hapa tayari kwa hafla hii kubwa duniani,ambapo macho na maskio ya watanzania na waafrika kwa ujumla yapo kwenye kipengele kigumu kinachowakutanisha miamba ya Afrika Diamond ni Sadala mzee wa Uber,WizKid na Burna Boy.
Stay tuned!!
Pamoja sana. Ila kuna events zinaendelea pre party. Chibou anafaudu kule.Tuzo zinatolewa leo usiku kuanzia sa tatu.
Inaoneshwa wwapi@Chartsafrica twitter wana kura ya maoni inaendelea live...
Hadi sasa:
Wizkid 70+%
Burnaboy 15+ %
Mondi 5+ %
Ingia twitter kwenye hiyo handle.Inaoneshwa wwapi
Pia alishashiriki tena nadhani ni kama miaka mitatu iliyopita na mshindi akawa black coffee kutoka South Africa..wabongo wakamcheka sana,leo hii inakuwa ni mara ya tatu.Watu wanasahau au ni kweli hawajui?
Wanasema Diamond kuingia tu pale ni mafanikio.
Hivi wanajua kama Diamond kashawahi shiriki BET category hii hii? Na wimbo alioupeleka ulikua Kesho?
Nakumbuka alishinda Davido, ambapo baada ya pale akaenda Nigeria akahudhuria harusi ya P Square akiwa na suruali ya mistari ya rangi nyeusi na nyeupe. Watu wakasema hakua na kadi alitumia kadi ya Davido iliyoandikwa Mr & Mrs.
Kama unakumbuka kuna kipindi zilitoka jeans za mistari nyeusi na nyeupe au bluu na nyeupe hizo jeans zilikua influenced na yeye alivyovaa hiyo siku.
So alishahudhuria yeye mwenyewe anaelewa anachohitaji ni ushindi na siyo kuishia kwenye nomination.
@Chartsafrica twitter wana kura ya maoni inaendelea live...
Hadi sasa:
Wizkid 70+%
Burnaboy 15+ %
Mondi 5+ %
Wananzengo wapo Insta hawapendi twitter sjui kwa nini.Sadala Mzee wa Ubber la "Kadilaki" HATOBOI.
Hizo sio kura ndugu.Wananzengo wapo Insta hawapendi twitter sjui kwa nini.
Inabidi kina slowly na sinza pazuri waende twitter kule kumpiga tafu mtu wao.
Kwan Twitter ndo wanapiga kuraWananzengo wapo Insta hawapendi twitter sjui kwa nini.
Inabidi kina slowly na sinza pazuri waende twitter kule kumpiga tafu mtu wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mnateseka mkiwa wapi?Wenzako hawaangalii tu kushinda but impact yw kua nominated ni kubwa zaidi katika maendeleo ya mziki wake, dogo kaitumua vyema hii fursa.View attachment 1832226
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu lini Goba kukawa Marekani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumana huko.Sadala kaangukia pua[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumana huko.
Si nimesema ni kura ya maoni kwenye post ya awali?Hizo sio kura ndugu.