Encryption
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 997
- 1,348
Mpuuz Sana yaniSasa aliyesema ataleta Live, , kalala
Yah burnaboy ndio mwenye tuzo ana album kali kichiziHi inaenda kwa burnaboy huyo mondi hachukui ng'oo.
Anaongea pale serikali inapoonea wananchi, ninampenda kwa hilo.Yah burnaboy ndio mwenye tuzo ana album kali kichizi
Anaongea pale serikali inapoonea wananchi, ninampenda kwa hilo.
Sasa sisi tunaambiwa uzalendo tumshabikie mtu anaejiunga na wachache wanaoonea wengi.Anajitambua na ni mpenda HAKI pamoja na yeye kuwa kishatoboa lakini anawakumbua watu wa chini ambao ndiyo waliomnyanyua na kumpa umaarufu mkubwa Nigeria na sasa duniani.
Sasa sisi tunaambiwa uzalendo tumshabikie mtu anaejiumga na wachache wanaoonea wengi.
Daa watu wamesaga kunguni mpaka kakosaSasa sisi tunaambiwa uzalendo tumshabikie mtu anaejiunga na wachache wanaoonea wengi.
Kweli mumefanikiwa katika hilo! Mtandale kasagiwa kunguni 😝😝😝 hadi kaishia kwenye “Asante kwa kushiriki!”Anaongea pale serikali inapoonea wananchi, ninampenda kwa hilo.
Sema kimeu manaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumana huko.