Daa watu wamesaga kunguni mpaka kakosa
Hili liwe funzo kwake na kwa wengine.Kweli mumefanikiwa katika hilo! Mtandale kasagiwa kunguni πππ hadi kaishia kwenye βAsante kwa kushiriki!β
Piga sadalaJapo tumepigwa ila Taifa linajivunia kijana mwenzetu kutuwakilisha vyema kimuziki mpaka mavazi(appearance) [emoji8]
Mwanzo mzuri, tuombee na wengine waione njia.[emoji1488]
Harudii tenaπ€π€π€Hili liwe funzo kwake na kwa wengine.
ππππHarudii tenaπ€π€π€
Mwanzo upi mara ya tatu hii anaangukia pua πππ mie wala nisingeenda ningejifanya nina dharura tuπJapo tumepigwa ila Taifa linajivunia kijana mwenzetu kutuwakilisha vyema kimuziki mpaka mavazi(appearance) [emoji8]
Mwanzo mzuri, tuombee na wengine waione njia.[emoji1488]
huwezi kushindana na sisi,Magu mwenyewe alitushindwa. Next time uwe mnyenyekevu
Kuna connection huwa zinapatikana ukichangamka. Ndio maana kuna wasanii huwa wanahudhuria hata kama hawapo kwenye nominationsMwanzo upi mara ya tatu hii anaangukia pua πππ mie wala nisingeenda ningejifanya nina dharura tuπ