So,unaheshimu maamuzi ya Diamond pia sio?
Hashindwi mkuu mpaka sasa anaongoza kwa kura 4000+ huku mpinzani anaemfatia burnaboy akiwa na kura 400+ .
'Wanamuonea sana huyu mchizi aisee 98% ya wasanii walikua ccm ila wamekomaa na mond tu.
Kuna tofauti kati ya kuheshimu na kukubaliana. Wewe unataka awe na mawazo kama yako ndio uone yupo sahihi huo ni udikteta na unafiki pia. Kuheshimu ni kukubali kusikia mawazo usiyoyapenda bila kutukana, kuyazuia au kulazimisha yafanane na yako ilimradi hayavunji sheria.Mimi siheshimu maamuzi yake kwa kuwa mstari wa mbele kukemea maovu ya Serikali ya Nigeria wakati huo huo kuwa kimya kuhusu maovu ya dhalimu magufuli na Serikali yake. Ni upuuzi tena mkubwa kuonyesha ameguswa sana na maovu wanayotendewa Wanigeria wakati huo kutojali kuhusu maovu mbali mbali dhidi ya Watanzania.
Kuna tofauti kati ya kuheshimu na kukubaliana. Wewe unataka awe na mawazo kama yako ndio uone yupo sahihi huo ni udikteta na unafiki pia. Kuheshimu ni kukubali kusikia mawazo usiyoyapenda bila kutukana, kuyazuia au kulazimisha yafanane na yako ilimradi hayavunji sheria.
Hatuwezi kuwa na jamii iliyojaa wanafiki ambao tafsiri yenu ya uhuru ni kutoa mawazo au misimamo inayofanana ninyi pindi mtu akiwa tofauti basi maana ya uhuru inabadilishwa. Unafiki uliovuka mpaka.
Binafsi wanaowashangilia akina Maria Sarungi,Kigogo,Lema,Lisu, Fatuma,ni wapumbavu pia hawawezi kusimamia misimamo yao zaidi ya kutukuza watu wapumbavu.Hamjaelewa!! Akina Maria Sarungi na Mazezeta wenzake kwa siku kadhaa sasa wanakesha Twitter kupiga kampeni ya kutaka Diamond aondolewe kwenye nomination za BET!! Wamehamasishana hadi kusaini petition ili mradi tu aondolewe! Kwahiyo anachojaribu kusema mleta mada ni kwamba, pamoja petition yao ya kutaka Diamond aenguliwe, lakini bado hajaenguliwa, na wala hataenguliwa!
Mliambiwa na mange muandamane mkajificha mnakuja kumsumbua diamond wa watu. Cha ajabu kabisa unaweza kuta wewe hata kura hukupiga ila kujikuta mwenye haki tu.Kama unaandika uongo unataka nirembe? Sijui kuremba mie ukiandika uongo nitauita UONGO tu hicho ulichoandika narudia tena SI KWELI.
Mnafiki ni huyo domo ambaye aliweza kukemea maovu dhidi wa Wanigeria kwa kuwa anaguswa sana na maisha ya Wanigeria wakati huo huo kukaa kimya kuhusu udhalimu wa magufuli dhidi ya Watanzania kwa kuwa domo hajali chochote kuhusu maisha ya Watanzania wakibomolewa nyumba zao kiholela, kutekwa, kubambikiwa kesi, kuporwa bilioni zao au hata kuuawa domo HAJALI kitu HAIMUHUSU sasa watu wameamua kumgeuzia kibao anabaki kulia kulia! Ukipanda bangi usitegemee kuvuna mpunga!!!
Mliambiwa na mange muandamane mkajificha mnakuja kumsumbua diamond wa watu. Cha ajabu kabisa unaweza kuta wewe hata kura hukupiga ila kujikuta mwenye haki tu.
Mbn mamtoni huko wasanii walimsupport Trump na hakuna malalamiko swala ni upinzan walitaka diamond asimame upande wao kinachomatter pale ni mpunga tu alaf kngn ata mindi angesimama na lissu ingekuwa vilevile lissu asingeshindaUna akili sana .Anasema usichanganye Burdani na siasa wakati mhusika alichanganya
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kwanza unathibitisha unafiki ulionao. Kitendo cha kumuita Domo maana yake inaonesha umetawaliwa na chuki na huna sifa za kuhubiri upendo au umoja ambao umekuwa ukisema humu.Amevunja sheria gani kusapoti wanigeria? Anaweza kuwa amekosea kwa tafsiri yako na yangu lakini huwezi kumpangia cha kusema we toa maoni yako unayoona yanamzidi sio kutaka kulazimisha afanane na wewe au aungane na chama chako.Kama unaandika uongo unataka nirembe? Sijui kuremba mie ukiandika uongo nitauita UONGO tu hicho kilichoandikwa narudia tena SI KWELI.
Mnafiki ni huyo domo ambaye aliweza kukemea maovu dhidi wa Wanigeria kwa kuwa anaguswa sana na maisha ya Wanigeria wakati huo huo kukaa kimya kuhusu udhalimu wa magufuli dhidi ya Watanzania kwa kuwa domo hajali chochote kuhusu maisha ya Watanzania wakibomolewa nyumba zao kiholela, kutekwa, kubambikiwa kesi, kuporwa bilioni zao au hata kuuawa domo HAJALI kitu HAIMUHUSU sasa watu wameamua kumgeuzia kibao anabaki kulia kulia! Ukipanda bangi usitegemee kuvuna mpunga!!!
Kwanza unathibitisha unafiki ulionao. Kitendo cha kumuita Domo maana yake inaonesha umetawaliwa na chuki na huna sifa za kuhubiri upendo au umoja ambao umekuwa ukisema humu.Amevunja sheria gani kusapoti wanigeria? Anaweza kuwa amekosea kwa tafsiri yako na yangu lakini huwezi kumpangia cha kusema we toa maoni yako unayoona yanamzidi sio kutaka kulazimisha afanane na wewe au aungane na chama chako.
Unasema hakuhubiri haki alimsapoti Magufuli kukandamiza watu wanaopingana nae kitendo hicho kina utofauti na mnachofanya hapa, ni kwamba ninyi mmegeuka Magufuli mliyekuwa mnapinga. Hamna utofauti na Magufuli wote ni wakandamizaji wa uhuru wa kutoa maoni sasa sijui mkishika nchi itakuwaje?
Usiseme watu wameamu kumgeuzia kibao sema sisi tumeamua.
Na hizo tuzo na siasa wapi na wapi ndgu, kama kawaida yenu kutaka chenu kionekana ni sawa cha wenzenu si sawa. Kwako nia sawa kuhusisha tuzo na siasa, ila si sawa kugusia maandamano hapa. ππ Nyie jamaa bna.Usibadili somo husika hii inahusu domo. Haihusiani na maandamano.
Si unaona ulivyo kilaza na mwepesi wa kutoka nje ya mstari. Wewe na wanaharakati mnasema bwana Diamond hastahili kupata hizo tuzo sababu aliungana na Magufuli sasa hivi unaleta habari za watanzania kulazimishwa kupiga kura. Nitakuelewesha sababu pengine unafata mkumbo au legit stupid.Wapi nilipoandika kwamba kavunja sheria yoyote ile? Sasa wewe kwanini unateseka na wale wote ambao wanaunga mkono kura apigiwe msanii mwingine? Wapi Sheria ya BET Awards inasema kwamba Watanzania ni LAZIMA wampigie kura Mtanzania mwenzao!? π³π³π³ Acha kuonyesha ujuha wako na kutaka kukumbatia udikteta hivyo kutoruhusu Watanzania kumpigia kura yeyote yule wanayemuaona anastahili kupata tuzo hata kama si Mtanzania.
mbona hata burna boy kapostiwaWakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi.
BET wenyewe hawana hata muda huo
View attachment 1811531
Muhimu sana.Sio lazima ila ni muhimu
Mam***..simba the don! Watu chali...luna mpuuzi nae kaanzisha maneno eti watamtoa youtube...Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi.
BET wenyewe hawana hata muda huo
View attachment 1811531
Tumia akili wewe...mbona hata burna boy kapostiwa
Si unaona ulivyo kilaza na mwepesi wa kutoka nje ya mstari. Wewe na wanaharakati mnasema bwana Diamond hastahili kupata hizo tuzo sababu aliungana na Magufuli sasa hivi unaleta habari za watanzania kulazimishwa kupiga kura. Nitakuelewesha sababu pengine unafata mkumbo au legit stupid.
Swala la watanzania kumpigia kura msanii yeyote ndilo lililokuwa mwanzo na hakuna anayepinga hilo ninyi mmekuja na kampeni kwamba aondolewe sababu alimuunga mkono Magufuli na hapo ndipo swali linapokuja je kuwa ccm au kumuunga mkono magufuli amevunja sheria gani? Unasema hakuna ulipoandika amevunja sheria hivyo unakubali kwamba hakuvunja sheria, sasa kama unakubali hilo kwanini upige kampeni ya kuondolewa sababu alimuunga mkono Magufuli na sio Chadema wakati huohuo unasema Magufuli alikandamiza uhuru wa watu ambao hawakuvunja sheria.
Tayari unaniambia nakumbatia udikteta lakini hii ni kwa sababu naheshimu maamuzi na mawazo ya Diamond hata kama sikubaliani nayo.
wewe ndio huna akili mbona huelewi maada,Tumia akili wewe...
Wanaopostiwa ni wale valid nominees..