BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mimi siheshimu maamuzi yake kwa kuwa mstari wa mbele kukemea maovu ya Serikali ya Nigeria wakati huo huo kuwa kimya kuhusu maovu ya dhalimu magufuli na Serikali yake. Ni upuuzi tena mkubwa kuonyesha ameguswa sana na maovu wanayotendewa Wanigeria wakati huo kutojali kuhusu maovu mbali mbali dhidi ya Watanzania.
So,unaheshimu maamuzi ya Diamond pia sio?