Better late than never, CHADEMA anzisheni YouTube Online TV haraka iwezekanavyo

Peopleeeees.........Sasa.....,......twende na lisu
 
Wanatakiwa na nani au na nini kuwa neutral?

CNN ya Marekani, kwa mfano, ipo neutral?
 
Jogoo kawika ndio mnakumbuka shuka, khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

..naelewa.

..fursa ziko ccm.
 
Wauze gari moja
 
Wale wale asiye na mtazamo kama wako. Hana akili.
Kuna wakati ukweli tunabaki nao kama ukweli. Nikuambie kuwa mwaka 2015 nilimkata Magufuli huku roho yangu ikinisuta sana kwa Lowassa kwakuwa Magufuli aliongea sana kuaminisha umma kuwa ana jali na hana ubaguzi. Kiukweli nilikuwa namkata huku roho yangu inaumia. But nashukuru Mungu amemfunua ameonekana alivyo 100% na nimejikuta namchukia sana sana sana! Sina sababu nyingine ila zaidi ya matendo mabaya sana yaliyotokea ndani ya utawala wake wa miaka 5.

This time my friend, ninavyomchukia kutokana na chuki zake za waziwazi basi hata mabango yake nikiyaona nayachana chana achilia mbali kumchinjilia mbali huku namkodolea macho kodooo kwenye sanduku la kura. Yani tuombe uzima maana ndani ya box la kura hata matusi nitayatoa kwa sauti!
 
Ni kweli.. promo zero.. ila hata leo walikua.live.

Pia waongeze ujuzi kwa kuajiri vijana creative zaidi..
Siku wakitangaza tu wananchi watahamia huko. Kosa ni kutoipa promo
 
Basi hawaitilii maanani. Na walitakiwa wawe nazo zaidi ya moja. CCM wana Channel 10,Ikulu mawasiliano,TBC. Sasa ukijumlisha na kina Global,Mwananchi,Millard Ayo,Azam,ITV n.k
 
Bado sio sababu ya kuwabania sauti, kama wanalofanya ni kosa sheria iwahukumu kama wanatumia haki zao kuyaongea hayo wanayoyaongea wacha waongee labda ndo kitu wapiga kuwa wake wanataka kusikia.


Maana huwezi mpangia MTU cha kusema.
 
Hili ni kweli kabisa, Inashangaza kama Chadema hawajafikiria na kufanya kitu kama hichi! Ni muhimu sana wapinzani wawe na vyombo vyao vya kijitangaza wenyewe!
 
Wanatakiwa na nani au na nini kuwa neutral?

CNN ya Marekani, kwa mfano, ipo neutral?

..MwanaHalisi na Tanzania Daima walikuwa pro-upinzani, lakini sasa hivi wamefungiwa.

..vyombo vilivyoachiwa kufanya kazi ni vile ambavyo ni pro-ccm tu, hicho ndicho watu wanakilalamikia.
 
Kitengo cha mawasiliano chadema kimejaa vilaza pale sijui hata wamewekwaje, just imagine hata photographers wa chama hatuna, youtube channel ile chadema media ipo very week, ina matukio machache sana cha ajabu hata yenyewe ni nadra kukuta inarusha live matukio muhimu ya chama.
 
Hili ni kweli kabisa, Inashangaza kama Chadema hawajafikiria na kufanya kitu kama hichi! Ni muhimu sana wapinzani wawe na vyombo vyao vya kijitangaza wenyewe!
Kabisa huu muda ni kuhakikisha Lissu anakuwa Popular na kuuzika kwa sera zao. Na wayaseme matatizo ya Mukulu live bila chenga.
 
Ushauri mzuri sana.
Ingawa kwa sasa haiwezekani kwani wakati huu ni wa Chadema ni msingi, na sio chadema ya ICT.
Chadema ICT imebaki kwa wanachama elites na kutegemea huruma za bloggers.
 
Naungana na wewe kwa 100%.Kwa sasa binasfi sitegemei na wala sijihangaishi kufuatilia matukio ya Chadema kwenye vyombo hivi vya habari.Vimekuwa vyombo vya habari vya kijinga sana.
Ni mwendawazimu pekee ndo atampa airtime huyo mropokaji anayetangazia ulimwengu kwamba Tanzania watu mitaani wanakufa kwa korona.
 
Hivi unanua chadema hawana hata photographer wao?? Picha wanasubiri watu wanazotumia simu, shame!
Basi hawaitilii maanani. Na walitakiwa wawe nazo zaidi ya moja. CCM wana Channel 10,Ikulu mawasiliano,TBC. Sasa ukijumlisha na kina Global,Mwananchi,Millard Ayo,Azam,ITV n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…