Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Namiliki nyumba yangu kupitia betting. Mtu akinishauri kuacha natamani nimng'ate sikio.
 
mkuu kwa kukukosoa ni kwamba, hakuna mtu aliemua kubeti akaweza kujicontrol, kujicontrol ni kuacha tu
Mkuu mimi naweza kuwa na balance ya 200k kwenye Betting ac yangu lakini nikakaa mwezi mzima sijabet kwasababu labda nipo busy au kila nikichunguali instinct zangu zinanikatalia

Huwa nina bet pale instinct zangu zinaponituma kwamba mazingira yote yanani favor

Simaanishi kwamba huwa potezi ila namaanisha ninaona faida zaidi ya hasara

Nina safari ndefu sana na betting hadi kufikia sasa
 
Binafsi nabetj ila siwezi kutetea betting maana najua madhara yake. Kifupi ulichoandika ndo uhalisia.
 
hongera, kuna sehemu nimekuquote pale juu
 
Binafsi nabetj ila siwezi kutetea betting maana najua madhara yake. Kifupi ulichoandika ndo uhalisia.
kabisa mkuu! Ni mchezo wa hovyo, naona wengi hawataki kuamini huu ukweli.
 
Pia uraibu wa maombi kwa wachungaji makanisani afadhali ya betting
 
Wewe hujielewi mzee swala la pesa kurudi wewe kama nani unaongea hivyo wewe ni mungu au unajua mijitu kama nyie mkopna mnapigwa mnafikiri na wengine tunapigwa kama nyie pole sana mzee tafuta kazi ufanye hii kazi huwezi nenda kalime
 
Jambo lolote ukilifnya kama ziada nalenyewe litakupa matokeo km ziada betting ni moja ya uwekezaji ambao unawatajirisha wachache huku wakiwa wamekaa najumbani mwao.Betting ni sawa na mkulima mdogo anavolima na muwekezaji mkubwa anayelima ni lini umewahi sikia mkulima holela anatoboa ?

Sasa unataka utumie elf5 kuzalisha milion 100 daily hiyo si bahati nasibu.
Ukistake 500 tegemea kupata 600 hadi 700,ukistake elf10 tafuta odds 1.25 had 1.35 upate 12500 had 13500....
Maskini hatuiwez kaz yyt ya kiuwekezaji sabb hatukubali idea ya kuanza kidogo kulingn n kile tulichonacho tunataka kuishi kwa miujiza kila tulifanyalo.

Mwisho wa siku bett what you can afford to loose.
BETTING NDIO SEHEM INANIPA HELA ZA VOCHA KILAINI KULIKO KAZI YOYOTE.
 
Mwambie huyo aelewe kazi kaishindwa yeye wenzie tunaiweza
 
Wewe hujielewi mzee swala la pesa kurudi wewe kama nani unaongea hivyo wewe ni mungu au unajua mijitu kama nyie mkopna mnapigwa mnafikiri na wengine tunapigwa kama nyie pole sana mzee tafuta kazi ufanye hii kazi huwezi nenda kalime
inaonyesha wewe kwenye betting ni mchanga sana ipo siku utaelewa, nimekuquote pale juu ili nione uwezo wako
 
wewe ni muongo! Unataka kusema odds ndogo ndogo ndo hazilose?
Unajua unachokisema au unaongea tu kwasabu watu husema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…