Sio hawakubali, inshu ni Kula cha MTU kwa miaka na miaka alafu unapotea.
My Bro mmoja ni mjeshi. Alimsomesha mwanamke aliyekua kafel kidato cha nne, akamtafutia Shule binafsi,, dem akaanza kidato cha kwanza.
Jamaa akasomesha huku anahudumia nakwao demu
Demu mpaka naingia kufanya MD pale MUHAS .
Akiwa mwaka 4 ,demu anamwambia, nimepata Daktari mwenzangu ivo hatuendan ... Kademu kakamuacha kimasihara kabisaa
BRO NUSURA AJIUE, MSAADA WA AKINA MAMA ZETU NA MA BROO WENGINE KUMSHAURI ,Ili chukua miezi karibu 6 ,baadae ndio akaoa Mwanamke mwengine.
Haya, sio tu Pesa na Muda...embu fikiria uwekezaj wa hisia aloufanya kwa demu miaka yote hiyo akijua ndio anamuoa??
HAWA VIUMBE, MSIWAONEE HURUMA, AKIFANYA UJINGA, MTENDE UJINGA...
kuna wanaume wakipenda,wanapenda kweli kwa dhati hasa hawa( Good Boy).
Mambo ya kijinga jinga fanyia bad boys , na kwa Bahati mbaya, Dem anamtenda good boy, sababu ampe K bad boy.
Mimi naona. MFANYA UBAYA, HAKIKISHA NAWEWE UMEMFANYA APITIE YALE MAUMIVU MABAYA.