Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa Amesahau AlisomeshwaNa alione vizuri hilo shimo kubwa lenye joka
NakaziaAnastahili kufanyiwa alichofanyiwa mwizi huyo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Dawa imepatikana sasa🤣🤣🤣
Point mkuu...nmekuja kugundua dawa ya kuachana na dem uliempenda sanaa ni kumshawish kwa gharama yyte ile..akija geto piga misumari ya kutosha then kama una petrol choma nguo alizokuja nazo na umpe kichapo cha kutoshaa..hatokaa akusahau maisha yako yote..kama alikushahau kwa kumtendea mazuri basi abaki na kumbukumbu ya kukumbuka ubaya uliomtendeaSio hawakubali, inshu ni Kula cha MTU kwa miaka na miaka alafu unapotea.
My Bro mmoja ni mjeshi. Alimsomesha mwanamke aliyekua kafel kidato cha nne, akamtafutia Shule binafsi,, dem akaanza kidato cha kwanza.
Jamaa akasomesha huku anahudumia nakwao demu
Demu mpaka naingia kufanya MD pale MUHAS .
Akiwa mwaka 4 ,demu anamwambia, nimepata Daktari mwenzangu ivo hatuendan ... Kademu kakamuacha kimasihara kabisaa
BRO NUSURA AJIUE, MSAADA WA AKINA MAMA ZETU NA MA BROO WENGINE KUMSHAURI ,Ili chukua miezi karibu 6 ,baadae ndio akaoa Mwanamke mwengine.
Haya, sio tu Pesa na Muda...embu fikiria uwekezaj wa hisia aloufanya kwa demu miaka yote hiyo akijua ndio anamuoa??
HAWA VIUMBE, MSIWAONEE HURUMA, AKIFANYA UJINGA, MTENDE UJINGA...
kuna wanaume wakipenda,wanapenda kweli kwa dhati hasa hawa( Good Boy).
Mambo ya kijinga jinga fanyia bad boys , na kwa Bahati mbaya, Dem anamtenda good boy, sababu ampe K bad boy.
Mimi naona. MFANYA UBAYA, HAKIKISHA NAWEWE UMEMFANYA APITIE YALE MAUMIVU MABAYA.
Na wanaua SanaWanawake watu waovu Sana
Dawa ya wala nauli ndo hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Msaada kwani hawana ndugu, hana Dada awape msaada puuumbavuu zake aliwe na manyokaKweli kabisa, wafanye tu kuwa ni msaada wanatoa. Haya mambo ya kurogana ndio nini sasa?
Roho mbaya kuliko zenu?? Huoni mnachofanya na mta tumbukia kwenye mashimoAaah wanaume jamani!!!hii roho mbaya mmeitoa wapi?
Mapenzi yakiisha mrudisheKwani huwa mnashikiwa panga si mnatoa kwa mapenzi? Mapenzi yakiisha basi tulia wengine waendelee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaliwa na nyoka wezi nyieNa wanaume ni mbwa mwitu walioshindikanaaa
Huo utu muwenao nyie kwanza alaaaShukrani na fadhila tunazo sana, ila kumsomesha mtu au kumsaidia mtu sio guarantee ya kumuoa jamani. Hebu muwe na utu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unatetea wizi na we we ni mule mule nini?Mlipiza kisasi.
Mi nakuvujisha damu milele, yani unaingia period kila siku za maisha yako, ukiolewa ladda ukazwe nyuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na alione vizuri hilo shimo kubwa lenye joka
Na mtaibiwa sana ndezi nyie!!!Mtaliwa na nyoka wezi nyie