Bi Harusi ashindwa kutembea, aona shimo na joka kubwa, ex wake adaiwa kumroga

Bi Harusi ashindwa kutembea, aona shimo na joka kubwa, ex wake adaiwa kumroga

walio sema dawa ya moto ni moto.mlikuwa mnajua kutembezeana moto
 
Sio hawakubali, inshu ni Kula cha MTU kwa miaka na miaka alafu unapotea.

My Bro mmoja ni mjeshi. Alimsomesha mwanamke aliyekua kafel kidato cha nne, akamtafutia Shule binafsi,, dem akaanza kidato cha kwanza.

Jamaa akasomesha huku anahudumia nakwao demu

Demu mpaka naingia kufanya MD pale MUHAS .


Akiwa mwaka 4 ,demu anamwambia, nimepata Daktari mwenzangu ivo hatuendan ... Kademu kakamuacha kimasihara kabisaa



BRO NUSURA AJIUE, MSAADA WA AKINA MAMA ZETU NA MA BROO WENGINE KUMSHAURI ,Ili chukua miezi karibu 6 ,baadae ndio akaoa Mwanamke mwengine.


Haya, sio tu Pesa na Muda...embu fikiria uwekezaj wa hisia aloufanya kwa demu miaka yote hiyo akijua ndio anamuoa??



HAWA VIUMBE, MSIWAONEE HURUMA, AKIFANYA UJINGA, MTENDE UJINGA...


kuna wanaume wakipenda,wanapenda kweli kwa dhati hasa hawa( Good Boy).


Mambo ya kijinga jinga fanyia bad boys , na kwa Bahati mbaya, Dem anamtenda good boy, sababu ampe K bad boy.


Mimi naona. MFANYA UBAYA, HAKIKISHA NAWEWE UMEMFANYA APITIE YALE MAUMIVU MABAYA.
Mamaeeee yaani ningevunja miguu kwanzia baba,mama mpaka na bby mwenyewe .
 
Mamaeeee yaani ningevunja miguu kwanzia baba,mama mpaka na bby mwenyewe .
Sasa wazazi wake wamekosa nini kama mlipendana nyie huko! sasa mmechokana wao watafanya nini!
 
Back
Top Bottom