Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ni majoka na mashimo kwa kwenda mbele... !!! Wengine mtatumbukia kabisa... BladifuluMkijitolea kutusomesha muwe na 50/50 ili ikitokea kama haya msiwe wenye kufanya maamuzi makubwa zaidi mana wengine huwa wanaishia kujidhuru wenyewe.
Kweli kabisa, wafanye tu kuwa ni msaada wanatoa. Haya mambo ya kurogana ndio nini sasa?Mkijitolea kutusomesha muwe na 50/50 ili ikitokea kama haya msiwe wenye kufanya maamuzi makubwa zaidi mana wengine huwa wanaishia kujidhuru wenyewe.
Huyo Askari ni Kilaza, mm ningefanya mfano.Sio hawakubali, inshu ni Kula cha MTU kwa miaka na miaka alafu unapotea.
My Bro mmoja ni mjeshi. Alimsomesha mwanamke aliyekua kafel kidato cha nne, akamtafutia Shule binafsi,, dem akaanza kidato cha kwanza.
Jamaa akasomesha huku anahudumia nakwao demu
Demu mpaka naingia kufanya MD pale MUHAS .
Akiwa mwaka 4 ,demu anamwambia, nimepata Daktari mwenzangu ivo hatuendan ... Kademu kakamuacha kimasihara kabisaa
BRO NUSURA AJIUE, MSAADA WA AKINA MAMA ZETU NA MA BROO WENGINE KUMSHAURI ,Ili chukua miezi karibu 6 ,baadae ndio akaoa Mwanamke mwengine.
Haya, sio tu Pesa na Muda...embu fikiria uwekezaj wa hisia aloufanya kwa demu miaka yote hiyo akijua ndio anamuoa??
HAWA VIUMBE, MSIWAONEE HURUMA, AKIFANYA UJINGA, MTENDE UJINGA...
kuna wanaume wakipenda,wanapenda kweli kwa dhati hasa hawa( Good Boy).
Mambo ya kijinga jinga fanyia bad boys , na kwa Bahati mbaya, Dem anamtenda good boy, sababu ampe K bad boy.
Mimi naona. MFANYA UBAYA, HAKIKISHA NAWEWE UMEMFANYA APITIE YALE MAUMIVU MABAYA.
Shukrani na fadhila tunazo sana, ila kumsomesha mtu au kumsaidia mtu sio guarantee ya kumuoa jamani. Hebu muwe na utu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawana shukrani wala fadhila..wanasahau haraka sana wema
Mi nakuvujisha damu milele, yani unaingia period kila siku za maisha yako, ukiolewa ladda ukazwe nyuma.Shukrani na fadhila tunazo sana, ila kumsomesha mtu au kumsaidia mtu sio guarantee ya kumuoa jamani. Hebu muwe na utu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha roho mbaya bwana.Mi nakuvujisha damu milele, yani unaingia period kila siku za maisha yako, ukiolewa ladda ukazwe nyuma.
Halafu Baba zao ndiyo mbwa kabisa tena waliokomaa mkiambwa hawa yani wanawake bwana ........!
Na wanaume ni mbwa mwitu walioshindikanaaambwa hawa yani wanawake bwana ........!
Na nyie ndio baba zetu, mbwa huzaa mbwa.mbwa hawa yani wanawake bwana ........!
Si ndio hapo sasa!! Wanalazimisha waendelee kupendwa.Kwani huwa mnashikiwa panga si mnatoa kwa mapenzi? Mapenzi yakiisha basi tulia wengine waendelee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini asiseme mapema uamue kama utamsaidia au lah? Kama kweli hamna nia ovu?Shukrani na fadhila tunazo sana, ila kumsomesha mtu au kumsaidia mtu sio guarantee ya kumuoa jamani. Hebu muwe na utu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa angeamuaje wakati hajajua!! Nani anaijua kesho jamani?Kwanini asiseme mapema uamue kama utamsaidia au lah? Kama kweli hamna nia ovu?