Bi Harusi ashindwa kutembea, aona shimo na joka kubwa, ex wake adaiwa kumroga

Hiyo Ndio shida ya kudate good boys... Anakupenda utasema yeye ni baba mzazi bwana.... pendeni kishkaji jamani hii itafanya kupunguza matukio kama haya.
 
Mke anauma leo nikuwa nachat na jamaa flani tulisoma wote chuo, akawa ananiambia kuwa baada ya kufukuzwa kazi akafulia, rafiki yake flani akamnyanganya mke na kumuoa. Akawa anasema ipo siku ataenda iroga ndoa yao ivunjike. 😂😂
 
Hiyo Ndio shida ya kudate good boys... Anakupenda utasema yeye ni baba mzazi bwana.... pendeni kishkaji jamani hii itafanya kupunguza matukio kama haya.
Halafu ukute kweli hawaendani ila ile kujitutumua kumpaka pesa ili ampende, atafute wa aina yake.
 
Mke anauma leo nikuwa nachat na jamaa flani tulisoma wote chuo, akawa ananiambia kuwa baada ya kufukuzwa kazi akafulia, rafiki yake flani akamnyanganya mke na kumuoa. Akawa anasema ipo siku ataenda iroga ndoa yao ivunjike. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ivunjike halafu aje kumrudia yeye, halafu mwanaume akiwa na pesa anyanyapae mkewe siku akifulia weee inakuwaga balaa si la nchi hii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ivunjike halafu aje kumrudia yeye, halafu mwanaume akiwa na pesa anyanyapae mkewe siku akifulia weee inakuwaga balaa si la nchi hii.
Mimi nikamwambia mkeo ulikuwa unamtesa, ukpata mshahara hurudi home mpaka uishe, unaleta wanawake ndani sasa vipi tena.
Akasema ye kinachomuoma ni huyo jamaa tena rafiki yake kumuoa mkewe wakati alikuwa ashaanza badilika kuwa mwema
 
[emoji23][emoji23] haaa kumbe ndiyo zilikuwa zake kumtesa mtoto wa wawatu kumuona hana pakwenda duu ngoja apate kivuli mtoto wawatu, sasa nayeye nakufulia kote huko pisi kali atalipata wapi[emoji3][emoji3], kaanza kubadilika baada ya pesa kuisha haa haa, wanasema pale unapoishia na Mungu huanzia hapo hapo, mpe pole na familia yake akaze moyo.
 
Halafu ukute kweli hawaendani ila ile kujitutumua kumpaka pesa ili ampende, atafute wa aina yake.
Si huwa wanaamini eti pesa ndio kila kitu!!Hadi wapigwe na vitu vizito ndio wataelewa
 
Na mke anamtaka jamaa japo kaolewa anamiss vagi za jamaa kumlaza njaa 😂
 
Si huwa wanaamini eti pesa ndio kila kitu!!Hadi wapigwe na vitu vizito ndio wataelewa
Haaa haa tena cha utosi anaenda kulia na wazazi wake huko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…