Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

Habari wadau

Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi,mwenye kujua nisaidie mawazo.
Kama ni legal ni impossible unless otherwise una skill kipaji ambacho wengine hawana kwahiyo hawawezi kufanya kama wewe.

Iwapo ni rahisi kufanya na kila mtu atafanya basi demand itakuwa kubwa hata kama theoretically unaweza kupata pesa nyingi lakini uchache wa watu utapelekea upataji huo wa pesa uwe mgumu
 
Fanya hivi omba mkopo wa membership kifurushi cha 50,000 kwa mwezi kisha anzisha darasa lako hapo mtakana juu kwa juu. Kazi ziko nyingi sana
 
Kama ni legal... ni impossible unless otherwise una skill kipaji ambacho wengine hawana kwahio hawawezi kufanya kama wewe

Iwapo ni rahisi kufanya na kila mtu atafanya basi demand itakuwa kubwa hata kama theoretically unaweza kupata pesa nyingi lakini uchache wa watu utapelekea upataji huo wa pesa uwe mgumu
Naweza trade
 
Naweza trade
Nini kinahitajika ulipo chukua order nenda kwa suppliers kama wanakujua wanakuamini au unaweza kuweka kitu bond supply mahitaji ya watu....

Kuweza Trading theoretically kila mtu anaweza ila uwezo wako kama ni mkubwa kuliko wengine basi ongea na wateja na wauzaji utapata a good deal (that is if you are as good as a trader as you say you are) ila kama ni average kama mamilioni waliopo...., set your expectations a bit lower
 
Kama uko Dar tumia hizo Platform utapata pesa bila mtaji soma vizuri Policy zao usikonde
Your user level does not have appropriate permission to view the content nifanyeje boss wangu hapo siwezikuingia bila Membership sasa nitaombaje mkopo wa membership?
 
Your user level does not have appropriate permission to view the content nifanyeje boss wangu hapo siwezikuingia bila Membership sasa nitaombaje mkopo wa membership?
Hapo panahitaji mtaji wa muda na bundle la internet kama simu yako ina uwezo mdogo ni bora utumie PC au tablet. Ukitulia kila kitu utapata hapo.
 
Back
Top Bottom