Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

Kudanga nafikiri,mtaji hapo unakuwa ni mbunye tu kama wewe ni Ke,kama wewe ni Me Uchawa
 
Habari wadau,

Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
Bila mtaji huwez,, unachomaanisha ni moneyless capital.
Zipo nyingi most of them require power e.g saidia fundi or mind e.g thinking then prepare proposal.
 
Back
Top Bottom